Nakumbuka tena kiroja kingine cha ushamba wangu wa kupanda ndege. Baada ya ile safari ya kwanza kabisa toka DSM to MZ niliendelea kusafiri kwa ndege mara kadhaa lakini ushamba haukwisha haraka. Siku moja nilikuwa natoka Ars kwenda Dsm. Nilikuwa nimekunywa maji mengi hivyo hapo katikati...
Hata wakiandika ndege zao zote na mabus yao yote KILIMANJARO ukweli utabaki palepale kuwa mlima KILIMANJARO upo Tanzania. Nawashukuru wanatusaidia kuutangaza mlima wetu.
Tazama tovuti ya Haydom School of Nursing utaona maelekezo yote. Lakini kwa alama hizi andika maumivu. Wanahitaji awe amefaulu CHEM, PHY NA BIOLOGY kwa kiwango at least cha D. Tofauti na hapo hakuna kitu hapo hata kama Dini amepata A.
Kabisa, hii posho ni kubwa sana . Kulala na kula kwa siku kwa mtu wa kawaida hamalizi sh laki moja. Je hawa wajumbe si watu wa kawaida? Je wana huruma na nchi hii kweli? Hivi mwalimu anayeteseka kwa kazi ngumu ya kufundisha watoto wa taifa hili katika mazingira magumu, kupanga chumba, kula...
Mie mara ya kwanza kupanda ndege nilitoka Dsm kwenda Mwanza. Process nzima hadi niingie kwenye ndege ilikuwa 'shughuli'. Nilikaa upande wa dirishani, tulipopita Ngorongoro crater eti sikuthubutu kuchungulia nje. Kisa?
Niliogopa eti nikichungulia naegemea upande mmoja hivyo nikaona kama vile...
NI KWELI KABISA, WAMAMA HAWA WA ARUSHA MJINI WANAJITAHIDI JAMANI. WANASOMESHA WATOTO, WANALISHA FAMILIA, WANALIPA KODI ZA NYUMBA, WANAJENGA NYUMBA ZAO ZA KUISHI, WANATUNZA WABABA( BAADHI YA WABABA HAWAFANYI KAZI YOYOTE YA KUINGIZA KIPATO. KAZI YAO KUBWA KUSHINDA VIJIWENI WAKITEGEMEA JASHO...
............... na kwa hisani na fursa hiyo hiyo wanafunzi akimaliza form six na D moja na S moja akipenda anakwenda kusomea ualimu wa sekondari. Katika mtihani wa mwisho wa ualimu anafalu kwa alama za chiiini sana lakini anapangiwa shule ya kufundisha.Huko shuleni ni kuvaa mlegezo/ kimini na...
Hapakuwa na mkuu wa shule hata mmoja! Ule mkusanyiko ulikuwa wa maafisa elimu wa mkoa na wa wilaya wa primary na secondary wa Tanzania Bara. Hapo ndipo walipochemsha. Wanapanga mipango yao, wanaizindua na wanatoa maagizo eti walimu watekeleze ili tupate BIG RESULT NOW. Walimu wanaofundisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.