Recent content by Mamaya

  1. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Top 5 yangu ya Magari used ya Kijapan yanayotumia Mafuta kidogo na Reliable (Non Hybrid)!

    Hapo kwenye viwanja ndio usiseme kiwanja cha 20x18 au20x15 yaani ni aibu
  2. Mamaya

    JamiiForums Tanzania KWA WALIOWAHI TUMIA SUBARU FORESTER S-EDITION (SH9) 2011

    Kwako kama manunuzi ya mkojo wa mwarabu sio shida chukua
  3. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Top 5 yangu ya Magari used ya Kijapan yanayotumia Mafuta kidogo na Reliable (Non Hybrid)!

    Tra imefanya tuone gari nzuri tu zikipita kwenda nchi za wenzetu huku sisi tunakimbizana na ist, hebu fikiri ist kwa sasa unaipata kwa 18-20m
  4. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hiyo story ya konda msafi inaitwaje mkuu
  5. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Wakunyumba nilisoma huu uzi jana usiku mida ya saa tano, nimeingia jf saa tano naona tayari unabii umetimia,
  6. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mzee wa Lows unamiliki nini sasa
  7. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Huo mziki unanunua nyumba bro
  8. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ni hapo kwa jirani Kenya, mzee sisi tukatest sub 4 za arborde au alitop
  9. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Kenya nzima IPO gizani, wenda Tanzania ikawa gizani siku 3

    Rombo umeme umekata
  10. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na hizi page za biashara zinazofunga comments. Laki 6 yangu ilikuwa inaondoka!

    Matapeli wengine ni wale wanauza mabando bei ya kitonga,uki clixk page zao direct zinakupeleka Wsp
  11. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rioba aibukia sakata la Mhadhiri UDOM, asema Tutakuwa Taifa la watu wajinga sana tukidhani uhuru wa kuhoji na kukosoa unamilikiwa na watu fulani

    Mudawa kula umeisha, anarudi yule Rioba wa gazeti la Rai nguvu ya Hoja
  12. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kosa la kwanza alilolifanya ni kupitoea sokoni kwa muda mrefu kisha kurudi tena kodteck na seapiano ni subwoofer za mwanzoni kabisa, ukiachana na wengine kama wale akina mingo,X5,,sayona. Kosa la pili baada ya kurudi sokoni bithaa zake akauza mwenywe zaidi kkupitia maduka yake aliyofungua...
  13. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    +255 748 040 464 mcheki huyo yuko ilala au search kule inst na fb anatumia jina used kama mpya, ila bei zake zimechangamka sana
  14. Mamaya

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Huyo jamaa ni Mkinga aliyeoa mchina, jamaa kwenye home music kama subwoofer anakwama kwenye usambazaji na bei, hata kwenye professiona audio kama mixer,booster, speaker,mic amejaribu lakini soko haliendi vizuri,vijana wanauza bithaa zake wanataja bei za kiuwenda wazimu
Back
Top Bottom