Recent content by Mamaphilipo

  1. M

    Mgonjwa wa Ukimwi yupo katika stage ya mwisho naombeni ushauri

    Alifanya big mistake kuacha dawa lakini pia alitakiwa ahudhurie kila mara kwenye vituo vya care and treatment kwaajili ya ku pewa dawa na kitu kingine kufanyiwa ni determination ya progress ya ugonjwa. Ambapo huchukuliwa CD4, Viral load, Lever function test, Renal function test nk. Sasa hapo...
  2. M

    Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

    Silk ,SWV,TLC,Elusion, Chantay Savage, Karyin White,Keith Martin,nk
  3. M

    Na hii ndio tofauti ya ma MC wa uswazi na wa ushuani

    Uswazi lazima uende na kachumbari na ndizi ya kulia wali
  4. M

    Mshahara wa Mwalimu wa Sekondari

    Halafu hii Taaluma kwa kupenda ukubwa Head Master mwite Mwalim badala ya Mkuu uone Afisa ngazi ya wilaya muite Mwalim uone. Mbona Afya kuna Daktari awe boss asiwe boss aidha Muuguzi anaitwa Sister fulani regardless Elimu au wadhifa alonao
  5. M

    Hivi ndiyo vipindi 5 vyenye ushawishi mkubwa kwenye Media za Bongo

    Naikubali mno ITV habari UTV ndio siwaelewi kabisa muda mwingi habari ni moja tu na mahojiano marefu juu ya swala moja mf kipindi cha Corona mwanzo mwisho na sasa hivi Uchguzi mwanzo mwisho as if hamna incidents zozote nchini
  6. M

    TAKUKURU wamchefua Magufuli huko Dodoma

    TAKUKURU walitakiwa waundiwe chombo cha ku evaluate integrity yao in daily basis kama ilivyo kwa taasisi zingine. Vinginevyo bado ni shida
  7. M

    Maskini Dokta Shika ugonjwa umechachamaa pesa hana

    Dialysis sio mchezo kama huna pesa you are Gone. Kina jamaa zangu mama yao alikuwa na hilo tatizo uzuri walikuwa na pesa waliinunua hiyo machine akawa anafanyiwa na madaktari nyumbani. Kuna siku ilitokea issue ya clotting mechanism kugoma ilibidi akodiwe ndege haraka kupelekwa Nairobi Kenya...
  8. M

    GE2020 Steven Wassira atangaza kugombea ubunge Jimbo la Bunda, Adai 2015 aliibiwa kura

    Niliwahi kusafiri na ndugu yake 2007 tukitokea Mwanza to Dar alinichekesha aliponiambia Mzee kila kitu kwake ni Siasa tu hana vision wala future mbadala. Hivyo sishangai
  9. M

    Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

    Okay hata zikiwa ni za zamani bado Uchebe hakuwa na mandate ya kufanya hicho alichofanyaga. Kumbuka Jinai huwa haina ku expire. Ajiadae vizuri tu kupambana na askari waliobobea kwenye maswala ya Jinsia otherwise atapata taabu sana
  10. M

    Tetesi: Shilole na Uchebe Watatakiwa kuripoti polisi, wana kesi ya kujibu " Shambulio la kudhuru mwili"

    Gender based violence GBV au ukatili wa kijinsia ndio tatizo hapo Hivyo Uchebe ajipange kisawasawa kupambana na askari wa dawati la jinsia. Otherwise nampa pole sana Shilole
  11. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tayari za kuwekwa kwenye zero tariff zipo vipi. Msaada
  12. M

    Mbunge wa Igunga, Dalaly Kafumu mikononi mwa TAKUKURU

    Kwa Igunga ni heri ajipumzikie tu. Igunga walishamchoka hawataki hata kumsikia.
  13. M

    Serikali ni wakati wa kutoa mwongozo kuhusiana kuhusu ulipaji wa ada shuleni baada ya tamko la Rais shule kufunguliwa

    Hoja ni ya msingi. Mf shule anayosoma mwanangu wanataka pia pesa ya study tour kitu ambacho kinadharia hakitowezekana kwa vile Watoto watakuwa kwenye crush programme pia wanadai pesa ya Extra classes ambayo iliwekwa kwa ajili ya mwezi wa sita shule zikifungwa Form 4 waendelee jambo ambalo halipo...
Back
Top Bottom