Huwezi kusoma diploma ya ualimu kwa cheti cha O-level tu.Walimu ni wale watu waliofeli form 4 au form 6.
Ukipata div 4 au 3 ya mwisho utaskia "nenda kajaribu ualimu"
Ila diploma za fani nyingine zote unaweza kusoma na cheti cha O-level.
Unajua hilo mkuu?