Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,867
Eti eeh! Labda kweli DADDY IS COMING!!!Umemsahau?
Subiri baada ya uchaguzi utaon impacts yake

Amezidi naye akome sasa, safi sana Takukuru na maujinga yenuIla TAKUKURU mmeonyesha mpo kutekeleza mambo ya kutumwa , vichwani zero kabisa.
Hivi jengo kama hili, na mnamwita Rais aje kuzindua, akili kweli hizi.
Magufuli amewaonya kwamba waache kujipendekeza kwa kutaka kujenga ofisi Chato.
Inaonekana afande wa TAKUKURU hamna kitu na anacho waza yeye ni kujipendekeza.
.View attachment 1513664View attachment 1513665
Wizi mtupu. Mpaka aibu. Huyu kiongozi wa Takukuru anajua anachokifanya? Anababaika kujieleza utadhani haijakaa geshIla TAKUKURU mmeonyesha mpo kutekeleza mambo ya kutumwa , vichwani zero kabisa.
Hivi jengo kama hili, na mnamwita Rais aje kuzindua, akili kweli hizi.
Magufuli amewaonya kwamba waache kujipendekeza kwa kutaka kujenga ofisi Chato.
Inaonekana afande wa TAKUKURU hamna kitu na anacho waza yeye ni kujipendekeza.
.View attachment 1513664View attachment 1513665
Kweli hako kajengo hakaendani na mil.140 jamani,hako kajengo hakazidi mil.60
Magufuli ni tapeli wa kisiasa na mpenda Kiki zenye kumdhalilisha.
Hiyo nyumba kusema imejengwa kwa 143M kawaambia mwenyewe waseme na atawakosoa ili ijijenge kisiasa kipindi hiki cha uchaguzi, anajua wajinga watasema Magufuli si mchezo bana.
Hiyo ya kutaka kujenga ofisi Chato ni maelekezo ya Magufuli ili akatae ioneka e wateule wake wanajipendekeza kwenda kujenga Chato lakini mwenyewe hapendi,ni kujisafisha kwa omo na dodoki wakati wa uchaguzi huu.
Wenye akili hatudanganyiki.
Acha kuwaza kipumbavu! Tatizo mmetawaliwa na chuki!!.Magufuli ni tapeli wa kisiasa na mpenda Kiki zenye kumdhalilisha.
Hiyo nyumba kusema imejengwa kwa 143M kawaambia mwenyewe waseme na atawakosoa ili ijijenge kisiasa kipindi hiki cha uchaguzi, anajua wajinga watasema Magufuli si mchezo bana.
Hiyo ya kutaka kujenga ofisi Chato ni maelekezo ya Magufuli ili akatae ioneka e wateule wake wanajipendekeza kwenda kujenga Chato lakini mwenyewe hapendi,ni kujisafisha kwa omo na dodoki wakati wa uchaguzi huu.
Wenye akili hatudanganyiki.
Tangia akiwa waziri huyu mh Rais alikuwa vizuri sana, japo anayo mapungufu mengi sana hasa kutojali watumishi wa umma na ubaguzi fulani fulani katika kutoa huduma za jamii, lakini anauwezo mzuri sana wa kufuatiliaTuweke ushabiki pembeni, magufuli ana mapungufu yake kama binadamu lkn ukiitazama speech ya leo utagundua huyu jamaa yuko vizuri, kuanzia dhamira yake na hata uwezo wake wa kukemea mambo ya kipumbavu kwa baadhi ya watendaji wake.
Acha kuwaza kipumbavu! Tatizo mmetawaliwa na chuki!!.
Shida ni nini? Wamebana bajet. Hao maafisa wawepo fieldHili ndo jengo la makao makuu TAKUKURU?..!!
Bora wengi mmeanza kumjua. Mie Magu huwa simuamini kabisa. Analosema ni tofauti na anachomaanisha. Eti wanajipendekeza kupeleka vitu Chato.Magufuli ni tapeli wa kisiasa na mpenda Kiki zenye kumdhalilisha.