Recent content by mamanalia

  1. M

    JamiiForums Tanzania Why I feel sorry for new TPDC boss

    David balali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa mwisho kwa mbwa wa polisi

    Very impressive
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Very bright you are mkuu. Mlolongo wa pf3 ndio umemuua huyo binti innocent. Kunahitajika bunge kurekebisha sheria au kusaidia kurekebisha utaratibu huu. Yaani mgonjwa anazidiwa watu wanawaza pf3!! This is sh.it.
  4. M

    JamiiForums Tanzania CLOUDS Fm, Mmezidisha matangazo mpaka mnaboa sasa!!!

    Poleni kwa kuwa hadi leo mnasikiliza clouds fm. Wengine tulishasahau hadi frequency yake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Niulize kwa nini wasomi ni moja kati ya kundi lisilo na mafanikio kiuchumi

    Nafikiri aliyeleta thread hajaenda shule kabisa na ana wivu na watu waliosoma. Ajue kuwa wasomi dunioni kote ndio huongoza kwa kuwa na stable and sustainable income and thus life. Mleta mada jifunze kuwa biashara si hii tu unayojua ya kufanya uchuuzi, yani, buy and sell. Unaposoma ukaajiriwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la msongamano mizani kuisha

    Kama ni hivo itakuwa poa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la msongamano mizani kuisha

    siku hiyo barabara ikipanuliwa ikawa two lanes each side, je huo mzani utabomolewa tena!!!? kwa nini wasingeujenga mbali kidogo ili kuepusha gharama za kuhamisha hamisha wakati wa upanuzi wa hiyo barabara ambao tunasikia uko kwenye mipango ya fast lane to chalinze.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya kichina ni kero kwa wasafiri

    Yutong na zhongtong ni nzuri kwa watu wafupi kama wachina sababu ya seats. Siye warefu tutabaki na marcopolo tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Jeshi la Polisi kuelekea sikukuu ya Eid - el - Fitr

    Idi ni lini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Napinga ujengaji flyover Dar

    Very poor thinking
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye foleni Yatokomezwa kabisa Ubungo mataa

    Huo ni uongo, foleni ipo ubungo kama kawaida na itaweza kuongezeka zaidi. Mara nyingi Dar jumapili kunakuwa hakuna foleni kubwa kulinganisha na siku zingine. Ni mpaka pale hao ccm wanaojifanya wanaakili watakapopata kujua kutumia maoni ya wataalam ndo foleni itapungua.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Majumuisho/ hitimisho la hotuba ya bajeti ya serikali

    Dawa ya wabunge walioko bungeni kutafuta mshahara ni kura ya wazi tu, hongera ccm kwa akili hii, ccm wote lazima waseme ndiyooo
  13. M

    JamiiForums Tanzania JK awasili Malabo, Guinea ya Ikweta

    Kama wapambe wa jk hawajajenga na kununua mipira ya kifahari, basi hiyo bahati haitawarudia kamwe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu bajeti

    Kuna haja gani ya kuijadili bajeti na kutumia fedha kwa takribani wiki mbili wakati wabunge hawana ubavu wa kuikataa hiyo bajeti? je katiba mpya ime address hili tatizo?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ipe jina hii bendi

    awesome!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom