Mtihani wa mwisho kwa mbwa wa polisi

Mtihani wa mwisho kwa mbwa wa polisi

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,429
Reaction score
8,376
Police dogs final test- Self control
Police dogs final test- self control.jpg
 
Kwaiyo wanatakiwa wamfanje huyi paka ndio wawe wamefuzu
 
Wameduwaa hawaamini ujasiri wa huyo nyau, kama Prof Muongo mbele ya bunge la escrow.
 
R.I.P paka wangu wawili waliraruliwa na mbwa
na huyu paka wa mwisho kaniachia watoto wachanga wanne
 
Kwaiyo wanatakiwa wamfanje huyi paka ndio wawe wamefuzu

Katika hali ya kawaida mbwa na paka hawaivi, mbwa akimuona paka ni lazima amkimbize. Sasa mtihani wa hao mbwa ni kama wataweza kuvumilia huyo paka apite kwa maringo yote mbele yao na wasimkimbize. Kwa kawaida mbwa aliyefunzwa anapaswa kufanya kitu kwa kuelekezwa, hivyo kitendo cha kumkimbiza huyo paka bila kuelekezwa tayari wanakuwa wamefeli mtihani wa utii.
 
R.I.P paka wangu wawili waliraruliwa na mbwa
na huyu paka wa mwisho kaniachia watoto wachanga wanne

!
!
umepost kwa uchungu mno mdau, pole sana. Mi nilishapoteza kangedere kangu kwa mtindo kama huo wa mbwa wa jirani walimrarua rarua usiku.
 
We Ki keti ungepita mida nikiwa kwenye anga zangu ungekuwa hadithi ya jinamizi saa hizi.
Yaani unabahati kweli wewe.

Hiki Ki keti kiinajua tuko katikati ya pepa kinapita kwa malingo.
Ole wake kikatize nikiwa break.
 
Kama huyo paka alivolunteer mwenyewe kwenye drill sawa vinginevyo ana wakati mgumu sana kujipata hapo!
 
Katika hali ya kawaida mbwa na paka hawaivi, mbwa akimuona paka ni lazima amkimbize. Sasa mtihani wa hao mbwa ni kama wataweza kuvumilia huyo paka apite kwa maringo yote mbele yao na wasimkimbize. Kwa kawaida mbwa aliyefunzwa anapaswa kufanya kitu kwa kuelekezwa, hivyo kitendo cha kumkimbiza huyo paka bila kuelekezwa tayari wanakuwa wamefeli mtihani wa utii.

Sasa kama ndio hivyo mbona wanaishi mbwa na paka nyumba moja
 
Back
Top Bottom