Msaada kuhusu bajeti

Msaada kuhusu bajeti

mamanalia

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2009
Posts
666
Reaction score
146
Kuna haja gani ya kuijadili bajeti na kutumia fedha kwa takribani wiki mbili wakati wabunge hawana ubavu wa kuikataa hiyo bajeti?

je katiba mpya ime address hili tatizo?
 
Back
Top Bottom