Kuna product kutoka forever living inaitwa forever freedom inasaidia sana hilo tatizo, kipindi kifupi tu baada ya kuanza kuitumia maumivu yataisha ni PM no yako kama utahitaji maelezo zaidi
Kwanini usikae na huyo mtu aliyekufuata akueleweshe biashara inafanyikaje? Maana umekuja kuuliza humu kwa watu ambao hata hawajui biashara inaendaje unafikiri watakushauri nini?
Ukitaka kuwa pilot mfate pilot akushauri ufanye nini ili nawe uwe pilot. Ukimfuata dereva wa bajaj au dereva taxi hautapata majibu sahihi. Akili za kuambiwa changanya na zako
Wakuu lazima tufahamu unapotaka kufanya biashara au jambo lolote la maendeleo tuepuke kuagiza mtu akufanyie tujaribu kujitosa wenyewe kama kweli tumeamua kufanya jambo kwa dhati. Hakuna uaminifu kwenye mambo ya pesa.... wanatapeliana ndugu sembuse humu Jf ambapo hata hatufahamiani!
Huyo ndo aliyeandika "happy birthday my son shamira" kwenye page yake ya insta.... Jamaa wakampa makavu sema daughter huyo ni mtoto wa kike akafuta fasta!!
Ushauri mzuri lakini maduka mengi wanaweka watu wasiowataalamu. Kuna siku nilikuwa naulizia mbegu ya hoho nikaambiwa kuna mbili za bei tofauti nikamuuliza tofauti yake nini, muhudumu anasema hajui, sikuona sababu ya kuendelea kuuliza zaidi maana nilijua sitapata majibu sahihi
Hawa watu wanapendana sana ndo mana wamebaki kila mmoja anaongea lake. Hamna kitu kigumu kuachana na mtu ambae bado unampenda. Wakae chini wamalize tofauti zao na waachane na mambo ya kuendekeza mashabiki. Wangekuwa wana akili wangetumia umaarufu wao kutengeneza pesa ndefu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.