Tazama: Said Fella ni mshamba Not In a Way - huyu ni mshamba Per sé

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,980
2,000
Nimekuwa nikitizama shughuli za mziki tanzania nkagundua kuna miungu watatu, Ruge, Said fella na babu tale. Hawa jamaa wana ka cartel kao, ukigombana na mmoja unapotea kabisa. Ila wana sifa zinazofanana nitawaletea mfululizo wa makala ila nianze na Fella Saidi.

Hajui kabisa kuvaa ni mshamba aliwahi kwenda Ikulu pale na jeans na tshirt juzi nimemuona kumbe alirudia zilezile kwenye tuzo za Diamond Channel O.

In short the guy ni mshamba anavaa mapete makubwa yana rangi rangi km mganga wa jadi nmeona video akiwa na diamond wanachukua tuzo alikera.
 
mwangambaku

Senior Member
Oct 9, 2014
109
0
Nmekuwa nikitizama shughuli za mziki tanzania nkagundua kuna miungu watatu, Ruge, Said fella na babu tale. Hawa jamaa wana ka cartel kao, ukigombana na mmoja unapotea kbs.

Ila wana sifa zinazofanana..ntwaletea mfululizo wa makala ila nianze na fella saidi

Hajui kabisa kuvaa ni mshamba aliwahi kwenda ikulu pale na jeans na tshirt juzi nmemuona kumbe alirudia zilezile kwenye tuzo za diamond channel O. In short the guy ni mshamba anavaa mapete makubwa yana rangi rangi km mganga wa jadi nmeona video akiwa na diamond wanachukua tuzo alikera.
Sawa tumekusoma inawezekana washamba tuko wengi , tunaomba msaada wa mawazo ulitaka avaeje?
 
124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,599
2,000
Ha ha ha a umenivunja mbavu mkuu
Umeniudhi mkuu !ungekuwa karibu yangu ngumi ya pua ingekuhusu! mi nilijua ndio unaanza mazima na huyo fella kumbe umenionjesha harufu ya msosi ukasepa!
Kitambo nilikuwa namuona huyu mshikaji kama yuko kimbwigila hivi kimuonekano ila mi sinaga ujasiri wa kusema mambo hayo !funguka!
 
Nov 26, 2014
87
70
baba umenigusa nawashauri wanamziki waungane wapinge utawala wa kinega luge, said fela, babu tale, hawa ndio wachawa, na wamiliki wa midia wanakula sana rushwa kudidimiza wasanii, these guys are very stupits
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Fella mchizi wangu... tena sana tu... long time kitambo hata Bongo Flavor haijaanza!! Lakini kibongo bongo, uki-mess na Fella; umeumia... bora u-mess na Ruge! Nakumbuka enzi za Wanaume Family, maskani madogo walikuwa wanamuogopa kama ukoma... wakianza kumng'ong'a basi ni lazima wafanye hivyo kimachale machale kwa imani kwamba Fella alikuwa anawaandea kwa bibi! Siku nimemuona Fella nyoko ni pale alipozinguana na mmoja wa washikaji wa Wanaume Family... kwa ku-show love, watu tukam-support yule mchizi akaenda studio, akagonga kopi kibao... nakumbuka tulihangaika sana kusambaza ile album radio stations...hata hivyo, haikupata airtime kabisa! Wambeya wakatupenyezea habari kwamba Fella kapita kufukia nyayo kila tulipopita... mchizi ambae tulimpa support ni very talented lakini amebaki historia!!

Hata hivyo, Fella sio mshamba kihivyo, sema inawezekana akinyuka pamba hazimtoi! Long time alikuwa na tabia ya kuvaa vijinzi vya kubana... ingekuwa siku hizi tungeita model... pata picha na ule mwili wake ingawaje enzi hizo hakuwa vile!!!
 
Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,747

Aisee,nilikua nakuhisi hisi tu leo ndio nimekujua wewe ni nani.
Sitaki maswali.....sijajiandaa
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Aisee,nilikua nakuhisi hisi tu leo ndio nimekujua wewe ni nani.
Sitaki maswali.....sijajiandaa
Na mimi najua tu kwamba huyo uliyekuwa unam-hisi hisi ni kwamba umem-mis nami sitaki maswali kwa kuwa najua utakataa tu!!
 
Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,747
2,000
Mtu unakariri hadi sauti na post za nyuma, sasa utakosea vipi!!! Nasubiri suti zangu toka Dry Cleaner nianzie nilipoishia... utatafuta mbeleko ya kunibebea!
Hahahahaaaa uwiiiiiiii!Ujue nimecheka sana!Nilikua najiuliza huyu mtu kaenda wapi?
Mbona huyu chige anafanana kimtazamo naye?
Nikagundua ndio wewe,wewe!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom