ambao when it comes to the interview they beat u wic high scores!!! i wish kungekua na mjadala wa kisomi wa vyuo vyote tz... ukweli ijulikane nani ni nani...
mara nyingi sentensi kama hizi wanatoa wale wanaosoma kwenye vyuo vya tz vya gvt. in labour market product za KIU ni the best. wanafundishwa kivitendo zaidi. na wanapata uwezo mzuri sana wakujieleza. ufundishaji wa KIU na vyuo vingine TZ ni tofauti kabisa... dats the fact.
kuhusu kuanza tu na...
sheria ya raisi akiwa madarakani haruhusiwi kumiliki biashara yoyote, ndio chanzo cha haya yote, ameweka mwanae awe msimamizi wa mali zake. hana shida ya kubadilisha jina hata hapo baadae coz ridhwani bado ni mwanae. zikiwa na jina la lidhwani ni sawa tu. changa la macho...wajanja...
jamani nsaidieni hivi ni vigezo gani vilitumika katika kuwateuwa wabunge wa viti maalum???????? je ni uzuri ama utendaji kazi na uwajibikaji wao????? coz kinachozungumzwa sana na vyombo vya habari ni sifa zao za uzuri na sio ni jinsi gani walionyesha kulitumikia taifa mpaka kufikia kupendekezwa...
habari zenu, kuna nafasi ya labouratory attendant,vigezo ni awe amefanya kazi kiwanda cha rangi, na amesomea kazi hio. yaani awe na certificate.
kwa anayehitaji plz aweke namba ya simu ntampigia na kumpa details zote muhimu ambazo sijaziandika hapa..
note: kazi yenyewe iko hapa dar
naomba mkiwa mnanijibu zingatieni haya. huyu mpenzi wake anampenda sana. mahali wanapokutaniana ni paheshima tu, na umri wake ni wakutosha kuwa kwenye mahusiano. tatizo linaweza kuwa kwenye mwili? labda hormone fulani zimepungua, au? kwa kweli mi nilijiuliza maswali ya namna hio na mengine zaidi..
mwezi uliopita mdogo wangu wa kike alinifuata, akanieleza tatizo lake ambalo kusema ukweli nimekosa jinsi ya kumsaidia. yeye anamiaka 20. anaboyfriend wake, anasema toka alipoanza kushiriki tendo la ndoa hajawahi kufeel chochote. hisia za kufanya tendo la ndoa anazo, lakini akiingiliwa hahisi...
mwezi uliopita mdogo wangu wa kike alinifuata, akanieleza tatizo lake ambalo kusema ukweli nimekosa jinsi ya kumsaidia. yeye anamiaka 20. anaboyfriend wake, anasema toka alipoanza kushiriki tendo la ndoa hajawahi kufeel chochote. hisia za kufanya tendo la ndoa anazo, lakini akiingiliwa hahisi...
jamani kuna rafiki yangu ana boyfriend wake. huyu bf alikokua anakaa mwanzo alimuonyesha lakini baadae alikuja kuhama alipohamia hakumuonyesha. na kila wakikutana anasema hana pesa anataka yule mwanamke alipie vinywaji. kuhusu mawasiliano kila mara yeye ni hana credit akimpigie simu anapokea...
hiyo ni roho y auasherati na uzinzi.. nashukuru kuwa huyu binti inaonekana yuko njiani kumrudia muumba wake kwa kuanza kuyasafisha matendo yake. kwa mimi ningemshauri aachane na huyo bwana haraka iwezekanavyo, ukweli ni kwamba penzi analokupa wewe na huyo mkewe ni tofauti. wewe anakupenda...
asante sana ndugu yangu, naona sasa wanajamii watajua sio mimi pekeyangu ambaye mambo haya yananikera...kwa wale wanaoniita mimi najifanya mwanamke kumbe mwanaume eti tu kwa vile navyoyaandika maneno yangu, kwanza napenda mfahamu most of ma friends ni wanaume, napika story nao nafanya kazi nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.