LABouratory attendant vacancy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LABouratory attendant vacancy

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mama Mchungaji, Apr 1, 2010.

 1. M

  Mama Mchungaji Member

  #1
  Apr 1, 2010
  Joined: Sep 4, 2009
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari zenu, kuna nafasi ya labouratory attendant,vigezo ni awe amefanya kazi kiwanda cha rangi, na amesomea kazi hio. yaani awe na certificate.
  kwa anayehitaji plz aweke namba ya simu ntampigia na kumpa details zote muhimu ambazo sijaziandika hapa..
  note: kazi yenyewe iko hapa dar
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ok mkuu,
  wenye kusaka kazi haya sasa...
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  isije ikawa April mosi...
   
Loading...