Mahusiano!!!!

Huu ni mojawapo wa ushauri alopewa .........
Nyie wanawake acheni ujinga! Mdada mwenye topic nakushauri kaa na huyo baba na endelea kula uroda na mtoto ongeza, siku hizi kuna Ndoa? Au mnadanganywa tu! Huyo anayesema unakubali kushea mkuki (hapa nimeondoa neno halisi) tena hiyo anayofikiria yeye kuwa ni ya kwake peke yake basi ndio inaingizwa kwa zaidi ya wanawake watatu kwa taarifa yake. Siku hizi mapenzi ni makbaliano tu. Hakuna mwanaume anaeingiza kwenye xxxx 1. Tena ukitoka kwa huyo baba hutakaa mpate ambae atakujali na kukutimizia kama huyo, au unafikiri ukiolewa ndio huyo atakae kuoa atakuwa wa kwako peke yako? nae atakuwa na wa pembeni (mwenzio) kama ulivyo wewe kwa bimkubwa wako. Hakuna cha Ukristu wala Uislam siku hizi tena hao Wakiristu ndo wanawake zaidi ya watano, mfano ninao kwa kaka zangu, na ni wakristu. Mama X wewe jifariji kama tu ukidhani ni wa kwako peke yako, Halooooooo

Nimechoka

Mwingine amesema ......

Nimerudi babaT , na ninasema hivi wote mnaomshambulia huyu dada ni wale wachache, waoga, msiojiamini.HII NDIO HALI HALISI SASAHIVI MTAKE MSITAKE,. mikuki mtaendelea kushare tu tofauti ni kuwa wengine mnajua mnashare wengine hamjui tu. Sasa mnaosema eti sijui kakunulia vitu, kakulea, leo unamuacha , umempata mwingine, si mseme tu kwa ufupi kuwa aendelee tu kupeana naye company, walee mtoto mradi amheshimu mke mwenzie? mbona mnazungusha sana mambo.

Nyumba ndogo haziishi hata mkeshe mnazipiga vita hapa. Nimependa kuna mdau kasema hapo juu kuwa kutoa ushauri sio lazima mtukane, kweli, kama mnataka toeni ushauri amuche namna gani, aanzeje maisha mwenyewe n.k ila sio ooh sijui ulimuibia mwenzio, sijui ulimtesa, kwani aliwákuta kitandani wanafanyana akamvuta huyo baba au huyo baba ndio alivaa chupi yake na suruali akaenda kumtongoza, wanawake bwana ndio maana mtaendelea kusumbuliwa na hili jambo, halitaisha kwa sasa limekomaa kama ukoma.

Ikifika zamu yako mume yuko ndani we muhudumie utulie, akitoka, we omba mungu, maana huko aendako haujui, anaenda kupewa nini, so hata akuite Sweet, sijui Honey pie, we omba mungu tu, lakini kukufuru na kumtukana mwenzenu mnakosea. MamaLo umeongea point, hawajakuelewa tu watu, good MamaLo hiyo ndio njia peke ya kuishi sikuhizi kwa amani hapa duniani, sio kumuuliza mwanamke mwenzio eti unaona raha gani kushare mkuki, kwani wewe unaona raha gani kufichwa ukweli na kuchekwa usogoni na kudanganywa kama mtoto mdogo? Nyumba ndogo za sikuhizi ndio zingine unakuta mpaka wakwe wanamjua wanamualika kwenye shughuli zao, wanaenda kumtembelea kuona watoto, sasa hapo NANI ALAUMIWE?mapenzi ni magumu kama siasa.

Mmezaliwa mmeyakuta, mtakufa mtayaacha,we kama hupendi kushare mwaname mfundishe mwanao wa kike akikuwa ajitahidi kabisa asifanye hivyo, lakini sio kukaa kutukana watoto wa wenzio hapa, wenyewe nao wametongozwa kama wewe.Nyumba ndogo nyingi za siku hizi wala hazifuati matunzo na pesa, wana hela zao nzuri tu, tena wengine ndo wanawakopesha waume zenu pesa, mnakula nyie.Oooohh, kalagheni BAHO. SALINI TU MSIJE MKAINGIA MAJARIBUNI, huo ndio ushauri wangu kwenu.

Huyu ni mbaba uwiiiiii.

Haya sasa mengine loh

am starving lakini ngoja niende ulikozitoa hizi posts tu sasa
nimechoka
 
...tena wengine ndo wanawakopesha waume zenu pesa, mnakula nyie.Oooohh, kalagheni BAHO. SALINI TU MSIJE MKAINGIA MAJARIBUNI, huo ndio ushauri wangu kwenu.

Huyu ni mbaba uwiiiiii

...Mungu wangu,....
Mwj'1 wataka kila kitacholetwa nyumbani zidaiwe risiti sasa :D
 
She's low down and dirty to be messing with somebody's husband. The husband is low down too.
 
She's low down and dirty to be messing with somebody's husband. The husband is low down too.

washenzi wote wawili na huyo mzinzi mwenzie!!! eti in 'the name of love'
yepi hayo mapenzi
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
hiyo ni roho y auasherati na uzinzi.. nashukuru kuwa huyu binti inaonekana yuko njiani kumrudia muumba wake kwa kuanza kuyasafisha matendo yake. kwa mimi ningemshauri aachane na huyo bwana haraka iwezekanavyo, ukweli ni kwamba penzi analokupa wewe na huyo mkewe ni tofauti. wewe anakupenda kimwili zaidi nina uhakika huo. na mkewe anampenda kiroho zaidi. yaani kuna maneno mawili upendo wa haja na upendo wa hamu.

kinachokutatiza najua ni hizo mali, kama ukimuacha akakunyanganya ujue hakukupenda. ila sidhani kama atafanya hivyo kwani tayari mna mtoto, atakuachia kwa faida ya mtoto wenu.
hongera kwa kufikia maamuzi ya busara
 
...Mungu wangu,....
Mwj'1 wataka kila kitacholetwa nyumbani zidaiwe risiti sasa :D

MBU nimechoka nakwambia yaani hata ukidai risiti si utapewa tu? Maana imagine unambekea mtu kwa kukuibia mumeo kumbe ndo anakucheka wajidai mkali wakati nakulisha? Yale yaleeee ya visa vya mpemba mwenye duka!!
 
washenzi wote wawili na huyo mzinzi mwenzie!!! eti in 'the name of love'
yepi hayo mapenzi
agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

'afu ndo maana watu wengine hawataki kusikia kabisa habari za ndoa. sasa hebu fikiria huyo mke wa huyo jamaa anajisikiaje sasa hivi?
 
'afu ndo maana watu wengine hawataki kusikia kabisa habari za ndoa. Sasa hebu fikiria huyo mke wa huyo jamaa anajisikiaje sasa hivi?

aki najiulizaga sana hilo swali i such situations!!!!

Unajihisi kutomwamwini mtu yeyote sasa!!!
 
halafu tunaambiwa waombeeni waume zenu...mweh! bwana hii hapa ni kama vile huyu mdada kaona mbele, labda huyu baba amepungukiwa kitu fulani kwasasa, labda pesa/huduma anaona zinayumba ndio mana anataka kumuacha,wakiambiwa huko nje yanachunwa tu hayaelewi....
Namuomba Mungu anipe ujasiri wa kutojiingiza kwenye nyumba ndogo. Ni rahisi sana kutumiwa kuliko vile wengi tunavyofikiri maana baada ya kuinvest yote hayo, mwisho wa siku unaishia kurudi kujisalimisha kwa mkeo, nguvu zote zimekuishia.
Lakini hata hivyo, nilichogundua kuna watu wanahitaji service za papo kwa papo bila kujenga kibanda. Pengine hao naweza kuwafikiria maana sisi wamakonde bwana kumnyima mtu kitu ninacho...sio haki kwa kweli.Lol
 
Mwana jamii!huyo dada anajidanganya,mtu unamoyo mmoja utapendaje wawili?yyanamuonea huruma huyo mwanamme,kwann hamuonei huruma huyo mama?anauhakika gani kama uduma nyingine anazipata?maana yy anaona yanayoonekana tu,je jamaa anamwambia kuhusu huduma za kimwili?alifanya makosa makubwa hata bible imesema kila mtu na awe na mume wake mwenyewe,yy kann anachukua wa mwenzie?TENA MWAMBIE PEARL ANAKUCHUKIA KWA KITENDO ULICHOFANYA NA NINGEMJUA MKE WA HUYO JAMAA NINGEMWAMBIA.

kweli huyu dada anachokifanya si sahihi na huyo bwana pia. Lakini moyo unaweza kupenda zaidi ya mmoja..

Assume kuna Beyonce na Rihanna, Beyonce anakuwa Bi mkubwa na Rihanna bi mdogo yani unaweza kupenda zaidi ya mmoja.
Ndio maana baadhi ya imani zikaruhusu zaidi ya mmoja, Yani unaweza kuoa hadi wanne.
Kama yeye ni muislam basi afunge nae ndoa kwa kufuata procedure za dini ya kiislam ili kuacha uzinzi unaondelea kati yao.

Kama ni mkristo basi hanajinsi ni kuachana nae maana wakristo mke mmoja tu ndio anayeruhusiwa
 
Natumaini basi na mwanamke atakubaliwa kupenda zaidi ya mara moja!! Maana hata sisi tuna moyo wa nyama!
 
MBU nimechoka nakwambia yaani hata ukidai risiti si utapewa tu? Maana imagine unambekea mtu kwa kukuibia mumeo kumbe ndo anakucheka wajidai mkali wakati nakulisha? Yale yaleeee ya visa vya mpemba mwenye duka!!

...goes both ways mamie, ...ndio maana wengine hizi "family days", sijui Get together za maofisini hatuzifagilii...
Unashangaa bosi wa mkeo anakuchangamkia as if mkeo ni mfanyakazi bora kiviiiile...! :)
 
umenikumbusha mbali Mbu, mie nilishawahi kukutanishwa na mdada nakwambia nikaambiwa 'tunafanya naye ofcn' mdada kanichangamkia kupita maelezo yaani kikawa hadi kinanielezea habari ya mwanagu eti oh wala usijali akikua ataacha utundu, unajua watoto wa kiume wanakuwaga watundu sijui nini! Ahh nikamtolea uvivu
Nikamwuliza na hilo pia kakusimulia? Inaelekea unanifahamu vilivyo- loh kila kitu kikasizi maana ushoga ulikatikia pale pale- kumbe kilikuwa kinaniibia (opss sorry kilikuwa kinagaiwa nacho)
 
mmh!:confused:
 
katika vitu ambavyo cvipendagi ni mautambulisho ya kidizaini dizaini vile, naona wananichora tu....
 
katika vitu ambavyo cvipendagi ni mautambulisho ya kidizaini dizaini vile, naona wananichora tu....

He is just a friend, tuko naye ofisi moja....!!! Yaani mtu analeta sanaa kwenye jumba la sanaa!
 
...goes both ways mamie, ...ndio maana wengine hizi "family days", sijui Get together za maofisini hatuzifagilii...
Unashangaa bosi wa mkeo anakuchangamkia as if mkeo ni mfanyakazi bora kiviiiile...! :)

Hahahahaha! Umenichekesha sana! Kumbe anakuchora tu! Si ajabu hata jana yake tu katoka kukumegea!
 
He is just a friend, tuko naye ofisi moja....!!! Yaani mtu analeta sanaa kwenye jumba la sanaa!

bwana we laaziz, unaenda ofcn kwa mr wote wanakuangalia kipembeni, hee mie huwaga salamu tu zinawatosha mazoea ctaki kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom