Recent content by Mam ashy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Imeniuma sanaa!

    wala ata usiumie,mi yalinitokea km yako na nilikua sijaanza ata chuo,sikutoa,nilizaa kababygirl kangu kana miaka mitano,yuko class one,alipoanza nursery ndo na mm nikapga shule,saiv nshamalza,nina kazi yangu,na babake ni mtu mwny ela bt mi nlikomaa nkamlea ivyoivyo kibish now tunakula tu gudtime...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Perfume gani wanawake wanapenda kuisikia kutoka kwa wanaume?

    royale ya chupa nyeusi,adorable na vanilla perfume
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume na mama yake wanalala Chumba Kimoja

    siyo vizuri kuanika adharani siri/matatzo aliyonayo rafiki yako,kama wampenda msaidie au muite umshauri mambo mazuri siyo kumtangaza
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda kaka wa x boy wangu

    hawakupendi,ila wamekuona ww ni choo cha stand kla apitae anaingia,utapitiwa sn,shame on you
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    mmmmmmh,kazi ipo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Mwenyezi mungu ndo muweza wa yote,yey akipanga yes hata ziwepo memo ngap nafas utapata,na yy akshapanga yes hakuna mwanadam atakaesema no
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

    Kuna mwakaringa a.k.a kibana wa kibasila enzi izo npo pale 2001-2004 usipochomekea shati lazima akubane,siku moja alipigwa getini unoko wote ukaisha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Forever Living na GNLD sio Vizuri...

    wanaboa sana,ni kweli ni biashara km biashara nyingne,,tatzo siyo wakweli
  9. M

    JamiiForums Tanzania application za tcu zitaanza lini?

    Wadau mwenzenu nilimaliza diploma mwaka jana,mwaka huu nataka kuendelea na degree sa sijui tcu lini wanaanza kupokea application,naomben mni-update zitakapokua tayari,maana kila nikicheki mtandaon naona sipati ninachoktafta
Back
Top Bottom