Sal
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 498
- 228
Kongosho wala usishangae kuna wadada/wamama kibao hapa nchini ambao akilini mwao wameandika kua mtoto lazima alelewe na baba. Baba hana kipato kikubwa, mama ana kipato kikubwa lakini yuko radhi aache kumlipia mtoto wake shule inayoeleweka maana anategemea baba afanye. Mtoto anaweza kuchelewa kurudi shule kwa sababu baba hajapata pesa, wakati mama anayo na hatalipa, ukimuuliza atakuambia baba yake hajaleta school fees. Vituko kama hivi viko kibao na wanaona ni sawa. Hivyo sioni ajabu huyu kulialia hapa kua hataweza kulea mtoto mwenyewe. Wakati anafungua miguu bila precaution sijui alitegemea nini.
Mwanachuo mzima ushindwe lea katoto kamoja? Hivi wengine mmekulia wapi?
Naona ni mie tu nimekulia kwenye mikiki mikiki, huu umayai unatoka wapi?
Kwa hiyo unashawishika kutoa?