Mtoto wa kiume na mama yake wanalala Chumba Kimoja

Akilala na mama yake inahuu nini ....mi wakat niko A-level nilipangiwa shule y mkoa anaoish dada yangu.nilikua nalala na dada yangu tena kitanda ki1 coz alikua anachumba hicho kimoja na niliku safe kabisa ht nilikua sihisi chochote ....hakuna m2 anaependa hali hiyo ht mimi nilikua cfurahii ila unakua huna la kufanya .....yacyokuhuu achana nayo.ngoja niombe kw invisible ruhusa y kuku2kana ntrudi.

Kweli kabisa mkuu mabo mengine ni ya kufikilia kwanza,kama hana jinsi atafanyaje?
 
lazima kutakuwa na sababu hakuna mtu mwenye umri wa miaka 26anaye penda kulala na mama yake
 
mmmh hii sasa mbaya...vip kwan yeye alipo kuambia hakukutolea na sababu.....?
 
Jaman huyu jamaa ni rafk yang wa karibu umri wak ni miak 26.alinishangaz aliponambia jan kua analala chumb kimoj na mama yak,nilikosa cha kumwambia kwsabb niliona ni maajab.jaman nipeni ushaul nimshaulije mwenzang aweze kuhama?au unahis kuna nn hapo?



Aisee this is serious ... alafu yuko confortable kabisa ku admit hilo suala... hata kama wana one bedroom, hata kama ...yaani mpaka naogopa to thots zangu maana nisije nikakufuru....
 
Hamna jipya hapo ni simple and clear, watu wanalala na nguo bwana so sio deal sana kuangusha na mama yako aliekuzaa chumba kimoja lkn sio kitanda kimoja....
 
duh jamani? si afanye kazi mbona kuna vyumba hata buku tano kwa mwenzi? uvivu tu mtoto wa kiume? wacha ajitafutie laana
 
Hahahahah!...eti laana...kweli duniani kuna watu wenye akili finyu...very superstitious....hata uwe mzee aje mzazi ni mzazi...kwake wewe ni mwana/mtoto....fikra za ngono na tamaduni za kijinga vilipitwa na wakati zamaaaaaaan!..fyuuuu!
 
Do you my ninja.

And let others do them.

With friends like these, who needs enemies?
 
Kwa umasikini uliokithiri hata sishangai...hasa chumba kimoja ila vitanda mbali mbali.

Wako wengi tu mitaani ambao hata hawawezi kusema ila tunawafahamu.
 
kama ni Darisalama hayo ni mambo ya kawaida sana...chumba kimoja unategemea nini?
 
siyo vizuri kuanika adharani siri/matatzo aliyonayo rafiki yako,kama wampenda msaidie au muite umshauri mambo mazuri siyo kumtangaza
 
Ni vizuri kwnz ungemuuliza rafiki yako sababu kwnz,lbd mamayake anaumwa sana na hana mwangalizi mwingine au yawezekana ni hali ya umasikini sana ndio sababu,halafu ndipo umsaidie tens pasipo kuja kuomba ushauri huku au kumsema kwa mtu mwingine,huo si uanaume aicee...
 
Sasa kipi cha ajabu hapo? We unafikiria nini kwani?
Mie toka ugonjwa wa dengue uingie nimehamia chumbani kwa kaka yangu. Ni kama vile mmelala jinsia moja tu...
 
Nasema wewe si RAFIKI ni MNAFIKI
Unajua maana ya urafiki
Suala LA usiri na kusaidiana na rafikio
Hujui hat kwa sababu gan wanalala wote bt unashangaa
Kipi kinakufanya ushangae
Unajua maana halisi ya umaskin na hali ngumu kiuchumi

Je kama mama yake ana tatizo je na anahitaj uangalizi

Na je kama hawana chumba kingine afenyeje

Sio jambo LA kushangaa jua tatizo ni nn kwanza
 
Back
Top Bottom