Hebu tuambie unataka tuamini kipi au wewe unaamini nini kwamba wanatumia ugonjwa lissu kupiga pesa au story nzima imepangwa au ni kipi unachotaka kutuaminisha?
Noma sana mkuu unakuta gari imejazs kishenzi full kusimama kwenye tiketi ilikuwa ukiandikiwa K.K maana yake kusimama mpaka kufika yaani ilikuwa ikitokea mmesafiri siku tatu au nne kutoka lindi to dar basi dereva anapigiwa makofi kwa kazi nzuri
Nakumbuka miaka ya nyuma hivi tumatoka zetu lindi kuja dar tulilala njiani siku tisa yaani mpaka tulizoweana wote kwenye hilo gari tukawa tunapika pamoja kila mtu anachangia alichonacho kinatolewa kitu cku zinaenda nakumbuka tilikuwa tumebeba nazi na madafu kama zawadi zote tulizimaliza njiani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.