Chibudee JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,775 2,400 May 24, 2017 #1 Tecno W 4 Inauzwa 20,0000 Haina tatizo lolote Ina miezi 2 toka Inunuliwe Kama una hitaji pm Tutaongea
Tecno W 4 Inauzwa 20,0000 Haina tatizo lolote Ina miezi 2 toka Inunuliwe Kama una hitaji pm Tutaongea
Innocent Kirumbuyo JF-Expert Member Jan 1, 2014 4,640 4,447 May 24, 2017 #2 Mkuu ata bei ya shop siyo iyo
M malundatz255 Member Jan 24, 2017 49 31 May 24, 2017 #3 Shop miezi mitatu iliyopita ilikuwa mpaka 165 unapata sasa hivi itakuwa chini ya hapo.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,136 May 24, 2017 #4 hahaha mimi nimesoma 20,000
A almsambya Member Nov 7, 2015 89 99 May 24, 2017 #5 Hii ninayotumia kuandikia ujumbe huu ni W4 nilinunua 170,000 miezi mitano iliyopita
Chibudee JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,775 2,400 May 24, 2017 Thread starter #7 Lexus SUV said: Kamata kamatia tsh.150,000/= Click to expand... Ni pm mkuu
chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 20,691 25,828 May 24, 2017 #8 malundatz255 said: Shop miezi mitatu iliyopita ilikuwa mpaka 165 unapata sasa hivi itakuwa chini ya hapo. Click to expand... Jamaa kachukua 150,000/- brand new kwenye box na warranty ya miezi 12 Juu
malundatz255 said: Shop miezi mitatu iliyopita ilikuwa mpaka 165 unapata sasa hivi itakuwa chini ya hapo. Click to expand... Jamaa kachukua 150,000/- brand new kwenye box na warranty ya miezi 12 Juu
chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 20,691 25,828 May 24, 2017 #9 Lexus SUV said: Kamata kamatia tsh.150,000/= Click to expand... Kwa pesa hiyo unapata mpya