Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,933
- 1,726
Chora ramani yako basi.Huyo aliemchorea ramani rais anatakiwa kuwajibika. Ramani inayoenda duniani wanakosea neno la kawaida kabisa. Uzembe wa hali ya juu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chora ramani yako basi.Huyo aliemchorea ramani rais anatakiwa kuwajibika. Ramani inayoenda duniani wanakosea neno la kawaida kabisa. Uzembe wa hali ya juu....
Baada ya kupiga kona pale Chato kwanini isinyoke kwenda Shinyanga moja kwa moja Tanga badala ya kushuka chini then ikarudi juu tena
Hii imetoka wapi mkuu ama hatujaenelewana???? Kama ningembishia duduzi si ningeandika katika comment yake? Kaangalie vizuri nilipojibu kabla hujanitwiza lawama zisizonihusu kaka.
And who the hell asked for that damn credit of yours?... i dont give a damn single credit...
Kuibiwa nini?Ardhi tu ndio mchango wetu ambayo watu watalipwa fidia mafuta ni ya Waganda!Thats good,ila hio mikataba kila mtz aione, pasije pakawa na mianya ya kuibiwa.
Kama ujui mambo hata usiandike andike tu kama Mwanaume wa darasa la pili 'c' uliza uelekezwe Tanzania inafaidika na mini kwenye hii projectKuibiwa nini?Ardhi tu ndio mchango wetu ambayo watu watalipwa fidia mafuta ni ya Waganda!
Uandishi wako unaakisi kiwango chako cha elimu!Soma vizuri ulivyoandika.Kama ujui mambo hata usiandike andike tu kama Mwanaume wa darasa la pili 'c' uliza uelekezwe Tanzania inafaidika na mini kwenye hii project
Mkuu kuwa objective. Mkataba uliosainiwa unaonesha ni 4kg. Prof Muhongo alishalalamika kuwa kuna tatizo la Wanasheria pale Wizarani kwa kushindwa kutafsiri sheria vizuri.Ingekuwa ishu ni mkataba TMAA isingevunjwa ,Muhongo asingefukuzwa
Tatizo ni udanganyifu wa takwimu ,TMAA walisema kwenye kila container kuna 4kg ya dhahabu tu huku tume ikisema ni 28 kg hivyo 24kg inakuwa loss na itauzwa bila ya kodi kukatwa
Ni uzembe wa hali ya juu aidha kwa kujua/kushirikiana au kwa kutojua/uzembe
kwani chato sio Tanzania??Piga ua lazima lipite Chato.
mkuu mbona unajichanganya! Mkataba umeandikwa kwamba TMAA watapima kila mchanga unaosafirishwa na kutoa concentration ya madini yaliyomo ili mrabaha ulipwe. sasa hiyo habari ya 4kg unaitoa wapi mkuu?? ingekuwa hivo kusingekuwa na sababu ya TMAA kuchukua sampuli kwa kila batch ya mchanga.Mkuu kuwa objective. Mkataba uliosainiwa unaonesha ni 4kg. Prof Muhongo alishalalamika kuwa kuna tatizo la Wanasheria pale Wizarani kwa kushindwa kutafsiri sheria vizuri.
TMAA, CEO wake ni mtuele wa Rais na ni tasisi inayojitegemea. Waziri angefanyaje kuhusiana na hilo? Amfukuze kazi CEO wa TMAA kwa kutoa takwimu za uongo? Ni chombo kipi kinatakiwa kuhakiki hizo takwimu? Pia ukumbuke mikataba hiyo au taratibu hizo zilikuwepo tangu 1998. Leo Muhongo aonekane amekosea? JK alijaribu akashindwa kubadili mikataba inayotoa mianya hiyo ya kufanyika. Kama Mhe Tundu Antipas Lissu alivyosema issue siyo kumfanya mtu mmoja kafara. Huu ni mlolongo wa watu wengi waliohusika na wanaohusika. Ni vyema sheria zibadilishwe kwanza halafu Waziri anakuwa na,hadidu za rejea. Angaliza ACACIA wamesema wanahitaji mchunguzi mwingine ili taarifa isiengemee upande mmoja. Vipi kama vipimo vya pili vitaonesha viwango tofauti na vilivyotolewa na Tume? Ili utafiti uwe conclusive watafiti zaidi ya watatu wanatakiwa kuhusika