Wakuu habari kuna simu ya Samsung Galaxy S6 machine imesumbua nauliza nawezaje kuipata machine nikafanya replacement?
Na huwa zinauzwaje?
Asante. s6 galaxy 20A
Ndugu zangu hebu tujadili jambo hili kidogo mm ninapata wasiwasi na hawa mabint wa shule jibsi wanavyoshinda stand na kushikana shikana hovyo karibia ktk stand nyingi za hapa dsm, mbezi l, tabata, chanika,buguruni,kawe n.k Je? Hawa watoto hawana mambo mengine zaidi ya kusubiria tuu daladala?
Habari ndugu zangu, hawa watoto wa shule kwa idadi yao hii ilivuokubwa na tena wengi ni wa kike hapa kuna usalama kweli? Maana naona wamejaa stand sana karibuni stand zote za hapa dsm wamejaa sana nina mashaka kama hawatakuwa na njemba hawa. Maana naona wengine wanatembea na nguo za kubadilisha...
Watanzania habari zenu hii habari mm imenigusa sana, Captain wa timu ya Taifa #TaifaStars na mshambuliaji tegemeo wa Club ya Genk ya kule Belgium na mtoto wa Mbagala Dsm, kuripotiwa na vyombo vya nje kuwa ni Mkenya hii #Tff mnayo habari?
Na Je? Kwenye habari kama hizi tff mnachukua uamuzi gani...
Mkuu mbona hata kwenye yale ya msingi kama Kuhamasisha mashabiki kuhusu michango na kufika uwanjani na kutoa updates za wachezaji tetesi za migomo na mambo yahusuyo Club hatumuoni akiwa mbele mbele. Huwezi amini %kubwa yetu wa Yanga hatupati taarifa kutoka kwake. Hakuna updates zozote za...
Kaka yangu nazani itakuwa ngumu kwa sababu italazimika ktk vipimo wauza ngono watambulike kitu ambacho hakiwezekani yaani huwabwanajificha sana sasa ikiwekwa wazi hawawezi kushiriki. Ila cha ajabu biashara hii ilikuwepo kabla hata Bwana Yesu hajazaliwa na akafa msalabani akaiacha yaani mizizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.