Mbowe apokelewa kishujaa Lindi

Mbowe apokelewa kishujaa Lindi

Leo hiyo mtazame Mbowe kwanza wacha kuweweseka
Kwa mtaji wa wajinga ndio waliwao , ha ha ha magu katisha mbeya na raisi wenu sugu kamfagilia Magu,anko Magu fukuza mjini hao wakimbilie maporini , na hivi wameanza kuelekea msumbiji.
 
Kwenye ubora wako
Mmerogwa mnaoelekea msumbiji.na huyo mamba pori mtakutananae mnapovuka mto kuingia msumbiji.
FB_IMG_1555773311437.jpeg
 
Hiki Chama Hakiwezi kuuliwa na Watawala wenye Akili ndogo kama hawa wanaotutawala sasa, CHADEMA tupo Imara sana sasa kuliko hata hapo awali, Hawa mazuzu wanajichanganya na kujidanganya kutokana na kukosa fikla na uelewa mdogo.
 
Mbona mnaelekea msumbiji ? Mbeya vipi ? Chadema challii
 
Back
Top Bottom