Recent content by Malkia wa upendo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Najiona nipo tofauti na wanawake wangine, ila i admire my personality!

    Hapana sina asili ya mkoa wa Mara hata kidogo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Najiona nipo tofauti na wanawake wangine, ila i admire my personality!

    Habari za weekend wapendwa wa JF! Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,najiona natofautiana kimtazamo na wanawake wengi hapa duniani. 1. Wanawake wengi hawapendi kuadhibiwa na waume zao au wapenzi wao. Lakini mimi huwa napenda nikifanya kosa niadhibiwe. Nikisema kuadhibiwa simaanishi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania True story ya mr.John

    Hahahahahahahahaahha!!!! Yaani nimecheka hadi nimelia.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bongo movies...

    Mtu anaoneshwa yupo msituni peke yake, ila cha ajabu unaona kivuli cha camera man na watu wengine.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tumbo lingekua kama injini...

    Mi ningependa likubali chipsi kuku tuuuuu!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Watoto wengi ni watundu sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata Kazi

    Hahaaahaah!!!jacobian kupiga jaramba maana yake nn??
  8. M

    JamiiForums Tanzania kupenda huku shida/raha

    Maaaamaa mbavu zangu! Yaani wachangiaji mmenichekesha hadi nimepaliwa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Man U watasimulia!!!

    Man U watakuja kusimulia wajukuu zao kilichowakuta msimu huu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahusishwa kutumiwa na CHADEMA shuleni

    Poleee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa atikisa Songea: Pata picha na habari

    Slaa yupo juu!!!. Ila nna wasiwasi kuwa asilimia kubwa ya watu hapo walienda kuangalia helicopter na si kumsikiliza slaa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hello JF members

    Hello JF members!! "PEACE n LOVE"
Back
Top Bottom