Mimi nataka kulala na wewe na usivae chochote hizo hasira zako nitazimaliza
iliandikwa Enendeni mkaujaze ulimwengu
sasa bila kufundishana tungeongezeka
bila kuvua nguo tungeongezeka?
ukilala na magunia yanayowasha tungeongezeka
Kweli Maisha ni magumu sana Korea Kaskazini
Hawa ndio waliojenga Jengo la Chimwaga kule Dodoma
Jinsi walivyochoka huwezi amini mpaka wakasingizia ni Wafungwa
Lakini Mabosi wao walipewa nyumba Area C Dodoma na Dreva wao alikuwa mjomba wangu alinisimulia Chakula chao, Du ni matatizo hakina tofauti...
hajakua uyo ngoja apate Mume na watoto km wa3 ataitupa hiyo simu
maana kufua Nepi na kuwapikia watoto na House girl bado mume huwezi shinda humo
Pia umri unaweza weka picha zako tu za zamani na maBoy friend wakaanza jisifia mbona utatoka mwenyewe!!!!!!
Labda ni kushauri ww mwanaume thread hii umeileta ww mwenyewe na huu Ukumbi tunauingia tufikapo Dodoma. Hauna FUJO unazozitaja Bado ukashauriwa uende POLISI hukwenda Ukashauriwa na Ukwaju basi ufike Maisha Club kwa Uongozi huyo Mtu achukuliwe hatua hukwenda ila una Taaluma ya Kuadhibu kwanini...
Wajina hata mimi sijui nimpe Ukwaju nini maana katufungua hasa na km kweli alipitia hapo MuccoBs na anadai chuo hicho kimemezwa na sokoine angaetupatia Ranking kwa tanzania tukione kilipo
Kibogo upo sahihi kabisa hata mm nakubaliana nawe hapo iwe ZOMEAZOMEA tu mpaka watakapochoka na kuliahirisha bunge au kulivunja kabisa maana hii ni kulazimishana
Wazanzibar wanataka Nchi yao sisi Tanganyika hatutaki no aibu ya nini tunaogopa?
Kama Mume shamba linakushinda si uwaache wenzio...
Du Kaka umnikumbusha Karucee wangu leo kaja kivingine kabisa maana kawa mpole na kutukanya kabisa leo hana Hang-Over
Nakumbuka story zake za kuwa Konda wa Daladala au ile ya mjamaa kuupanda mnazi kule beach kwa ajili ya NDUMU
acha mchezo km unatumia kuna ma2 ikupande uwatukane mpaka wanao au...
nakubaliana na wewe ila kuna sisi wa uswahilini hata hiyo gari au kusomesha wototo hakuna ila ni Mama Lishe aua muuza Genge la Samaki.
Chanzo ni hao watoto kwanini tunazaa wengi km ulishabugi na mume wa kwanza akaja wa pili makosa ni ya nani?
Kumtukana Mwanangu matusi mazito mbele ya kadamnasi...
Mandela nakusifu kwa hapo tu maana umemkaushia vizuri huyo mwanachuo mwenzako na mwenzetu (mm nimetoka pale na km 2004
Kitendo cha kumtukana qn of sheba wajina wangu ni sawa na mama yake tu kwani jibu alilopewa na shoga yangu ni bado kwanza lugha aliyotumia sijui ni slung au Common tense...
hebu pima kiakili tu una Div 1 Muccobs wanakuita? ni Direct Vyuo vyake vipo na vinakusubiri
Mimi nimesoma pale MUCCOBS wakati huo mambo ya Ushirika yanakufa ndio kina Chambo wakaona wajiunge na Sokoine kwa ajili ya fani yao ya Ushirika la sivyo kingekosa mwelekeo km hivi kinapokwenda namnukuu...
ukichanganya na sura yako ni kweli una chuki na CCM ndio maana unawaita majangili
kwanza uko Out of Topic
pili una chuki ambazo ni ndoto
ni vigumu kuiondoa CCM kwa kuwaweka Mapadri na wachezesha madisco
mjipange tena
RUDI KWENYE THREAD
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.