Yaliyonikuta Maisha Club, Dodoma

Yaliyonikuta Maisha Club, Dodoma

Pale kuna baunsa mmoja rafiki yangu nimesoma nae bonge ya mtu ntamuuliza kama ni yeye aliekutia migumi hiyo

alipigwa choodan Zook akatulie maana mijitu yenyewe kazi yao ni kupiga tu hayo mawe.. Angethubutu arudishe kama vp? Bweche lingemtoka
 
Safi sana Wajumbe wa Bunge la Katiba km mnatembelea sehemu hizi mkishirikiana na OSHA
NIMEPERUZI hiyo link yako na kukuta mna wataalam kibao lakini mkaanzie Mbagala Zakheem wanakopigana miti hadharani ndio mje kuangalia usalama wa MAISHA CLUB (ambako mnafichwa )

https://www.jamiiforums.com/habari-...ka-`sodoma`-kwa-ngono-za-wazi-hadharani-4.html
550x270-slide12.jpg

Mabinti wenu wa OSHA wanalipa lakini wakawashauri wale wenzao wa Mbagala WAACHE za CHAPCHAP

mbona tumeongea vizuri tu sasa unaanza ukurya ndugu wisdom is for free aisee
 
mbona tumeongea vizuri tu sasa unaanza ukurya ndugu wisdom is for free aisee
Anayeleta ukurya ni nani
aliyetoa Link kwamba Member waingi huko OSHA ni nani
Aliyesema MAISHA CLUB happafai watu wanapigwa ngumi za tumbo ni nani?
Hii thread yako yote mm ni wapi nilipokosea mpaka unaita UKURYA
MAISHA CLUB hakuna ngumi WAKARIBISHE NA WENGINE ndi maana nikakupa na link yake km ulivyonipa ya OSHA
 
Anayeleta ukurya ni nani
aliyetoa Link kwamba Member waingi huko OSHA ni nani
Aliyesema MAISHA CLUB happafai watu wanapigwa ngumi za tumbo ni nani?
Hii thread yako yote mm ni wapi nilipokosea mpaka unaita UKURYA
MAISHA CLUB hakuna ngumi WAKARIBISHE NA WENGINE ndi maana nikakupa na link yake km ulivyonipa ya OSHA

hebu kama kuna mtu mstaarabu amueleweshe huyu ukwaju, maana naona anakuja kishari halafu hazingatii hoja zilizoainishwa, mimi nimehadithia yaliyonikuta maisha club Dodoma akaniita muongo nikashauri basi kama mi muongo mule ndani waweke direction marks for safety ambao osha wanaweza kutoa ushauri ndiyo kazi yao akaniwekea link ya danguro hiyo ni kazi ya ustawi wa jamii na polisi. pole kaka kama nimekuharibia biashara samahani ila ni pm nikupe ofa nakupeleka club Fulani uone structure ilivyo.. kama una hasira usi andike maneno ya kuudhi wengine humu taaluma zao ni kuadhibu watu
 
hebu kama kuna mtu mstaarabu amueleweshe huyu ukwaju, maana naona anakuja kishari halafu hazingatii hoja zilizoainishwa, mimi nimehadithia yaliyonikuta maisha club Dodoma akaniita muongo . kama una hasira usi andike maneno ya kuudhi wengine humu taaluma zao ni kuadhibu watu
asante bwana ukwaju ila Welcome to OSHA wakushauri kuhusu safety structure ya kumbi
Labda ni kushauri ww mwanaume thread hii umeileta ww mwenyewe na huu Ukumbi tunauingia tufikapo Dodoma. Hauna FUJO unazozitaja Bado ukashauriwa uende POLISI hukwenda Ukashauriwa na Ukwaju basi ufike Maisha Club kwa Uongozi huyo Mtu achukuliwe hatua hukwenda ila una Taaluma ya Kuadhibu kwanini usimuadhibu huyo Baunsa ila Ukwaju?
Umetoa link Welcome to OSHA kila mtu anaingia na hao wasichana wapo kwako na sio wa Danguro Ila waende wakapunguze Umalaya sio kukaa wanabung'aa (km ni wa Ofisini kwako POLE UMEWAADHIRI)

Member wote hawa wamekuambia wewe MUONGO bora uifute au uende POLISI SIO HAKO KATAALUMA KAKO kutishia JF wakati unaandika umeyanywa pitia POST hizi

 
Last edited by a moderator:
Ashhhhhh Baunsa amekosea sana.
Angekuvunja hata Meno ili iwe Fundisho kwa watu wenye vihelehele km nyinyi.

Ntaongea na Msauzi sku nyingine ukienda pale unyonywe mpaka M.A.V.I
 
uzuri ni kwamba ninayo clip yote nili ichukua na kifaa Fulani sikutaka kuiweka kwa sababu Fulani nikaona nitoe ushauri tu sasa naona nashambuliwa in the name of clearing reputation ngoja nione ni jinsi gani nita I up load humu na kwenye mitandao mingine ikiwezekana kisha ni forward kwa ajili ya kupata legal aid kwani nchi yetu inaongozwa na utawala wa kisheria ila sikutaka kufika huku sasa naona ndiyo uamuzi wa busara roger that
 
Mkuu naomba ntajie jina LA hiyo club ya Tanzania ambayo watu wanaingia uchi na kuanza kutiana Viol
 
Baada ya shughuli nzito za ujenzi wa taifa nikaona nitafute sehemu ya kujipongeza, dodoma ni mgeni kidogo hivyo nikatafuta tax nikamueleza dereva tax nikampa specifications ya sehemu nayo penda kupelekwa akaonekana amenielewa basi akanipeleka maisha club.

Binafsi situmii vileo ila napenda muziki kucheza na kujumuika kweli bwana nikafika nikakuta vijana kwa wazee wanafurahia maisha nami nikajumuika nao mpaka ilipofika mida ya usiku mkubwa nikaona niende kupumzika kwa muda nilookaa mule na kucheza mziki na lile giza giza la mule ndani ramani ikanipotea nikaanza kuutafuta mlango wa kutokea nikauona mlango karibu yangu wakati naukaribia ili nishike kitasa nikapigwa ngumi ya tumbo moja matata sana ni wale mabaunsa walinzi wa club nikamuuliza nini tena bila majibu akanichukua akanisukuma, pale aliponisukumia kulikuwa na mlango mwingine nikawa nashika kitasa ili niufungue pengine nitoke nje nikapigwa tena ngumi nyingine..

Sasa uvumilivu ukanishinda nikamwambia wewe una kichaa mbona unanipiga bila sababu halafu hutoi maelezo akaniambia samahani nilijua umelewa na ule mlango wa kwanza uliokuwa una ufungua ni ofisi na ule wa pili pia namshukuru Mungu nimepitia kidogo majugoruu pia nina uwelewa mkubwa wa temper management nikamwambia nimekusamehe ila mwambie bosi wenu aweke alama za maelekezo kama tuonavyo sehemu zingine mfano exit/ kutoka, nilikuwa na mpango wa kuchukua yale mambo yetu yaleee pale nje du lakini huyo baunsa akaniharibia mood kabisa.

Nimemaliza
Ndioooupumbavuu mliotmwa dodoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom