Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,268
Hii habari ya kuingia na Div. III mpaka IV nimewaeleza katika post yangu #87 Mandela anadai masomo yamebadilika siku hizi wakati mm nilisoma enzi za Mahuwi km Principle Mwiteni na kina ChamboHakuna aliye faulu vizuri akaenda kusoma kusoma hapo na labda atumwe na shirika na kama utaona post yangu ya mwanzo niliweka % za division hapo muccobs nikasema wenye div I wanaweza kuwa 10% tu.
Alafu mnavyo jifariji sasa eti kwavile ni chuo cha ushirika ni rahisi kupata ajira CRDB kwasababu jina lake ni bank ya ushirika ndugu CRDB sikuiz jina haiko kiivyo na mambo ya ushirika na bahati mbaya ckuiz wanaajiri wanafunzi wengi wa UD, IFM,Mzumbe,Udom na Sua..
sasa sijui leo wanaandika na kujifunza kiarabu au Kirusi hata hivyo masomo huwa hayabadiliku Acc ikawa na kukaanga mayai sijaona tangu nizaliwe eti siku hizi wanasoma Sociology tofauti
Kwenye Rank za vyuo Afrika Muccobs kwa sasa hakipo tena, hata katika vyuo 200
Bora Enzi yetu kilitambulika East, Central & Southern Africa enzi ya Marehemu Anangisye na mama Zakia Megji
Wanafunzi toka Botswana na Namibia walikuwepo kibao
Kwa kumsaidia Advocate J sasa hivi kazi za Ushirika hakuna tena maofisini, Vyama (CUT, SCULT na SACCOS mmeviua vyote) Wakurugenzi wanatoka Mzumbe na Vyuo km UD, Watendaji na Maafisa mipango ni IRDP Dodoma, IT ni UD na UDOM hivyo jamaa yangu Bro Mesh km upo Dodoma nenda kachukue Master yako UDOM
MuccoBs ni mahali pa kuanzia tu
Vyuo 100 vya Afrika ni hii hapa UD ni ya 12 ikifuatiwa na Sokoine ya 100
100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking
[TABLE="width: 382, align: center"]
[TR]
[TD]1 Cairo University[/TD]
[TD]Egypt[/TD]
[TD][[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2 University of Cape Town[/TD]
[TD]South Africa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3 University of Pretoria[/TD]
[TD]South Africa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4 Universiteit Stellenbosch[/TD]
[TD]South Africa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8 Ain Shams University[/TD]
[TD]Egypt[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9 Alexandria University[/TD]
[TD]Egypt[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10 Mansoura University[/TD]
[TD]Egypt[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11 University of KwaZulu-Natal[/TD]
[TD]South Africa[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12 University of Dar es Salaam[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]78 Kenyatta University[/TD]
[TD]Kenya[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]100 Sokoine University of Agriculture[/TD]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 382, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]