Mke wangu ananilazimisha kulala bila nguo

Mke wangu ananilazimisha kulala bila nguo

Anakulazimisha na we hupendi, ni heri umuache urudi kwenu make lazma atakuja akubake tu....
 
Mimi nataka kulala na wewe na usivae chochote hizo hasira zako nitazimaliza
iliandikwa Enendeni mkaujaze ulimwengu
sasa bila kufundishana tungeongezeka
bila kuvua nguo tungeongezeka?
ukilala na magunia yanayowasha tungeongezeka

Pumabvu kabisa, mitoto ya siku laanifu ajabu sijapata ona, ndio ujinaga gani huu unaandika hjapa jukwaani? Mkeo au malaya wako? shenzi kabisa uwe na adabu kijana na chagua vitu vya kuandika sio kila ujinga ni wa kuelezea kwa watu, sasa ulitaka sisi tuje kukuvua hizo nguo? mlete mkeo huku tutalala nae uchi....umenikera sana sana, ndio mnashushia hadhi JF nyie, gegedo gegedo, gegedo kitu gani bhana? hebu tulia please tunatafakari mambo ya msingi
 
Mimi nataka kulala na wewe na usivae chochote hizo hasira zako nitazimaliza
iliandikwa Enendeni mkaujaze ulimwengu
sasa bila kufundishana tungeongezeka
bila kuvua nguo tungeongezeka?
ukilala na magunia yanayowasha tungeongezeka
Ohhohhhooooooooo nilidhani nimesaidia kuzima moto kumbe ndio nimechopchea, haya njoo tulale basi, nisemeje sasa! Dah
 
------- kabisa, mitoto ya siku laanifu ajabu sijapata ona, ndio ujinga gani huu unaandika hapa jukwaani? Mkeo au malaya wako? shenzi kabisa uwe na adabu kijana na chagua vitu vya kuandika sio kila ujinga ni wa kuelezea kwa watu, sasa ulitaka sisi tuje kukuvua hizo nguo? mlete mkeo huku tutalala nae uchi....umenikera sana sana, ndio mnashushia hadhi JF nyie, gegedo gegedo, gegedo kitu gani bhana? hebu tulia please tunatafakari mambo ya msingi

Mpwa ndio maana mambo ya msingi tunaburzwa kwa kuwa vijana wenyewe ndio hawa.
 
Lkn ni karaha biashara yakupumuliana cwz hiyo kaz shuguli imekwisha kila mtu alale kivyake
 
Jf c mchezo,ina mambo!! et gegedo liwe ndani muda wote huh!!!
 
Sijui wakati unaoa huyo mke haukupewa ushauri nasaha? nenda kamwambie mdhamini wenu wa ndoa
 
ha ha ha haaaa...haya sasa tunastajabu ya firauni.....
 
jaman mwenzenu hata cjui nfanyaje mana huku tulipo ni baridi lakini nkilala na boksa tu kosa.yeye anataka tulale uchi alafu gegedo langu liwe ndani ya papuchi yake mpaka asubuhi

Samahani waheshimiwa. Naomba kuchangia kwenye lugha. Ukweli ni kwamba JF imekuwa inazalisha maneno katika lugha yetu adhimu ya kiswahili.

Kama kugegeda ni kitendo, nadhani kiungo kinachotumika kugegeda bila shaka itakuwa kigegedio. Gegedo au mgegedo vinabakia kuwa kitendo na sio kifaa (kiungo). Huenda hili neno likafanywa rasmi na BAKITA - nani anajua?
 
Mpwa ndio maana mambo ya msingi tunaburzwa kwa kuwa vijana wenyewe ndio hawa.
Ni Lini Vijana wenye nguvu watakaa na kutafakari au kuandika mada zenye changamoto kwa fate ya taifa letu? kama kila saa tunawaza chini tu chini kuanzia asubuhi hadi jioni mtu anawaza ngono tuuuuu ni lini tutapiga hatua? Haiwezekani kabisa......
 
jaman mwenzenu hata cjui nfanyaje mana huku tulipo ni baridi lakini nkilala na boksa tu kosa.yeye anataka tulale uchi alafu gegedo langu liwe ndani ya papuchi yake mpaka asubuhi

nanukuu post moja humu

jana ilipotimu sita kamili usiku fataki zikaanza kupigwa mnazi mmoja kila mmoja alifikiri lake jirani yangu ambaye kwa vyovyote alikuwa usingizini na akiota ndoto mbaya alikurupuka mpaka nje uchi kabisa huku kashikilia taulo mkononi, dakika mbili hv alipata fahamu na kujifunga taulo lake huku akiuliza kuna nini? Najua fika wanandoa wengi na wapenzi wanalala uchi hasa huku kwenye joto lakini jamani ukumbuke kuna dharura za usiku hivyo bukta, mapajyama na nite dress visicheze mbali na kitanda, ili likitokea la kutokea usipate shida
 
nafikiri wapaswa timiza hitaji lake badala ya kulalamika. hata kama uume wako utakuwa ndani yake bado waweza kuwa na nafasi ya kujifunika shuka au blanket
 
Hapo inamaanisha kitu kimoja tu kwa mtu mwerevu humridhishi mkeo. Ndo maana bado huwa na hamu na wewe
 
Back
Top Bottom