Charles Mullinda
JUMATANO, Februari 20, Tanzania Daima Jumapili ilifanya mahojiano na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Mustafa Karamagi, kuhusu mustakabali wake kisiasa baada ya kujiuzulu wadhifa wa uwaziri na jinsi alivyoipokea Ripoti ya Kamati Teule ya Bunge, iliyochunguza...