Recent content by Malimi Jr

 1. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Survive for the fittest, that is the nature. Hakuna cha karma wala mjukuu wake. Wakati mnamshangilia madudu ya huyo mwendazake hamkujua kama kuna karma? Wakati watumishi, wafanyabiashara na wakulima wananyanyasika karma ilikuwa haijazaliwa? Huu ni wakati wa watumishi na wafanya biashara kula...
 2. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mzee mwenzangu matumaini hayawezi kutulisha. Ahadi haziwezi kunipeleka dukani wala kunilipia bili zangu na hata kuendeleza miradi yangu inayonipa heshima mtaani kwangu kipindi hiki. Muda huu najiandaa kuandika kwenye kitabu cha kutoka ili niende kwenye miradi yangu. Mkuu ahadi za wanasiasa...
 3. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mzee ukiingia mahakamani, hospitali, shuleni, TRA, TBS, TANESCO, UHAMIAJI, POLICE STATION, nk. Sisi watumishi utatukuta tumejaa huko na foleni lazima upange wewe mnyonge. Na kipindi hiki wanyonge mtateseka sana. Yaani hadi huruma tunawaonea sema hatuna namna lazima mteseke ndiyo mkakati uliopo...
 4. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mzee kunywa maji kidogo, mwandiko wako haufanani na mwajiri. Walioajiri hawashindi na kukesha kwenye mitandao ya kijamii kutukana watu. Wao huingia kwenye mitandao kuelimisha watu. Kama kweli umeajiri basi utakuwa umeuajiri mdomo wako ili utukane watu. Jisogeze hapo kwa mama Gaude unywe hata...
 5. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Sina muda wa kubishana na zuzu ambaye aliishia darasa la pili. Mimi sio wa mtumishi wa(ndani,kuchunga ng'ombe) kama ulivyojitambulisha wewe. Mimi ni mtumishi wa umma ambaye najielewa. Siwezi kusifia wakati nina madai lukuki ninayoidai serikali. Wewe mnyonge njoo tukupigishe foreni kwenye...
 6. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mkuu umeongea vema sana tena hisia kali. Ila nitajibu kistaarabu kabisa. Hao wananchi si ndiyo wale wale wanaoshangilia kuona mtumishi anatumbuliwa? Hao wananchi si ndiyo wale wanaowachukia watumishi na wakuwaita wezi? Hivi mwalimu wa chekechea anaiba nini, chaki? Hao wananchi si ndiyo...
 7. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mkuu tuombe Mungu atufikishe tena tarehe 01/05/2022. Hadi muda huu ninapoandika tulitakiwa tuongezwe angalau 18% ya salary. Ila mama naye kama ilivyokuwa kwa mwendazake, kamute. Na hiyo 18% ni kwa ajili ya manunuzi ya chakula na bills zingine. Sasa sijui kama hiyo mwakani ataongeza salary kwa...
 8. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mkuu hakuna sehemu ambayo nampinga huyo mama yenu. Pia siwezi kumpa sifa kwenye hamna. Kuhusu kuandikwa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kama mtumishi alikataa kukuandika kwa sababu zake binafsi na wewe ukakubali, basi wewe ndiyo una matatizo. Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mzee mwenzangu concern yangu ni pale ulipokuja na sifa za kumtetea huyo mama as if malaika ametua madhabahuni. Kingine, sijamaanisha kwamba unategemea mshahara tu, hata mimi sitegemei mshahara tu. Halafu madeni ninayowadai nimeshayasamehe hizo faranga tumbueni tu huko juu, baada ya kuzungushwa...
 10. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Hivi ni lini mwalimu wa Tanzania naye ataanza kulipwa posho? Kumkubali huyo mama ambaye ni zao la udhalimu wa mwendazake mimi wala siungani naye. Kipindi nateseka alikuwa VP na hakuwahi hata kutoa tamko. Watumishi tuna madai mengi sana kuanza kusifia mapema namna hii wakati hadi muda hakuna...
 11. Malimi Jr

  Kwani Wakulima waliikosea nini Serikali ya CCM?

  Hawajui uchungu wa kulipa kodi.
 12. Malimi Jr

  Watumishi wa Idara ya Elimu (Sekondari) Wilaya ya Ulanga wanafanya kazi kwa mazoea

  Idara ya elimu ilishajifia siku nyingi sana, tunasubiri tangazo tu majengo tukafugie bata.
 13. Malimi Jr

  Nasaka mume

  Karibu pm
 14. Malimi Jr

  Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

  Kama ni mkeka basi "Both team will score"
 15. Malimi Jr

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Hii huwa inauma sana wazee wenzangu.
Top Bottom