Sina chuki naye bt ni dhahir kuwa ugonjwa upo katika hali ya juu kabisa kutomruhusu kufanya kampeni miezi mi3 na pengine kuwa rais wa nchi hii kwa heshima aachie ngazi apumzike kwa heshima sio badae afe kwa presha baada ya kampeni na matokeo mabaya ya urais!
Nimeshindwa kuendelea kusoma post yako coz nimegundua hukufanya uchunguzi wa kina kabla ya kuandika hayo uliyoandika watuhumiwa wote walihojiwa na PCCCB na ofisi ya CAG na hansard zipo kamati ilitaka nn tena wkt kila kitu kiliwekwa mezani na vyombo hvyo vya serikali..!!!
Kwann hakutangaza kuwa alipokea fedha kutoka kwa Ruge kabla hajatajwa kama kweli ilikuwa in good faith? ,sheria inasemaje kuhusu kupokea fedha nyingi kias hicho? Na ni undugu au urafiki gan wa kupeana 1.6 bn kama msaada au zawadi tu? Kwann hakuna makubaliano ya kuilejesha kama yy anaifanyia...
Nilie nae ss alikuwa abiria kwenye gari langu na ktk safar yake hakuwa mwenyeji huko aendako so tukafika bahati mbaya ndugu yake hakuja kumpokea na ilipotimu muda wa kupaki hakuwa na sehemu ya kwenda wala pesa ya guest nikamlipia chakula then chumba,kesho yake pia mwenyeji hakupatikana so...
Mtoto wake anakataa kwa kigezo gan? Yy mtoto sisi wazir wetu na kiongozi wa umma serikali haiwezi kuacha afe kifo cha utata kwa sababu za kitoto!........something must be done!
Judgement
Wakati mwingine ni vizur kucontrol tension zetu wkt tunajibu hoja fulan pengine walikudhan ndivyo sivyo ila kwenye suala la kufaulu inawezekana hasa walimu na mkurugenz wa shule wakiamua kufanya biashara kias na kutoa huduma zaidi.
Wako 33 tu darasan ni rahisi kuwamanage isitoshe ni private school michujo mingi,quiz,test,home work,vitabu vya kutosha,walimu wenye ufaulu mkubwa na bingwa wa masomo husika, mazingira bila kusahau weekly na monthly test, mid term test si kila shule zinayafanya haya wao wameweka pembeni biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.