Picha; Operesheni Delete CCM, mkoani Rukwa

CDMhub

Senior Member
Dec 21, 2013
184
0
IMG_2117.JPG
Naibu katibu mkuu akikumbatiana na mzee ambaye alikuwa mmoja wa wasikilizaji kwenye mkutano wa Operesheni Delete CCM uliofanyika katika Kijiji cha Samazi, mkoani Rukwa. Mzee huyo ambaye alitokwa na machozi wakati akisikiliza hotuba, alisema kuwa aliguswa sana na maneno ya Mwalimu. (Ijumaa 28/11/2014)
IMG_2137.JPG
Naibu Katibu mkuu na msafara wake wakishiriki chakula walichoandaliwa na wenyeji wao katika Kijiji cha Samazi Jimbo la Kalambo, baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo ikiwa ni mwendelezo wa mikutano mfululizo wa Operesheni Delete CCM mkoani Rukwa.
IMG_2142.JPG
IMG_2172.JPG
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kisumba, Jimbo la Kalambo, mkoani Rukwa, katika mfululizo wa mikutano ya ziara ya Operesheni Delete CCM katika vijiji vya mkoa huo (Ijumaa 28/11/2014)
 

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,244
1,500
Ww umeona hao watoto tu kwenye hizo pic zote? Anyway wamepata bahati ya kupata elimu ya uraia mapema ktk umri wao mdogo!
CCM ni sawa na UKOO WA PANYA, Baba mwizi, mama mwizi, mtoto mwizi, kaka mwizi , dada mwizi, Babu Mwizi, Bibi mwizi, shemeji mwizi,mkwe mwizi,Tumia dawa
kali aina ya UKAWA Uweze kuangamiza ukoo wa mapanya waharibifu aina ya CCM!!!! Vinginevyo ukicheka na mapanya tutaambulia....umaskini daim
a kwa Ufisadi.Tuma sms hii kwa watu 15 kuiangamiza familia hii ya panya mwaka 2015 ktk uchaguzi mkuu
 

samaki2011

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
1,776
0
...Asubiri khanga za bure magamba wakimtembelea !!!
kanga huwa zinaletwa mara 1 kwa miaka mitano, mara ya mwisho waliletewa 2010, 2015 mgawo mwingine ila kwa taarifa za awali mwakani wataletewa chupi za mtumba kutoka china. Kinana kashapiga dili na wachina wake, jan mwakani kontena la chupi za mtumba
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,805
2,000
Mmmh! Naona hatuelewane basi ngoja nikanunue kiroba! Hivi kinauzwa bei gani?
bei ya kiroba muulize mbunge wako mariam msangi aliyekuwa anakunywa nje ya bunge pale makole bar kabla ya mjadala wa escrow haujaanza cc[MENTION]msalani faizafoxy simiyuyetu[/MENTION]
 

Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,836
2,000
Mkuu si uliapa siku ile kuwa Mbowe hakuhutubia Mpanda na ukaja kuhadhirika vibaya ITV na magazeti yalivyoitoa hiyo habari. Tangu siku hiyo nakudharau sana.
Sikuadhilika pole sana kwani lazima mbowe ahutubie ndiyo uwe na furaha? Mimi nakuheshimu kama unanidharau hainisaidii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom