Uchaguzi Serikali za Mitaa,CCM Mwanga yashikwa vyema

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
3,011
Reaction score
1,794
Salaam wadau
hapa mwanga uchaguzi wa sm umekolea. Magamba inapumulia mashine vitongoji vyote vya mjini. Kitpngoji cha kichangare zaidi ya watu mia tano wamejiandikisha wengi wao wakiwa vijan hali ambyo imemtisha mgombea ccm ambapo yy na chama chake wanapanga kuvuruga uchaguzi kitu ambacho vijana wanasema hapatatosha.kitongoji cha vudoi napo hali ni tete kwa mgombea wa ccm ambaye alikuwa mwenyekiti wa UVCCM wilaya na WaZazi naye hali yake ni tete kwani mpaka baadhi ya wanafamilia wake hawamtaki. Kitongoji kingine ni mikuyuni ambapo kina watumishi wengi wa serikali wakiwemo askari polis napo mgombea wa ccm amejikatia tamaa ambapo jana alipata aibu ya karne kwenye uzinduzi ambapo watu takriban tisa ndio waliohudhuria mkutano huo
nawawsilisha
 
watanzania tuungane kwa hli, hata kama upo mjin mbali na eneo lako la asili, wapgie cm ndugu zako waikatae ccm, pia nawe hapo ulpo tmiza wajib wako kwa kuichagua cdm, tafazalin sana nawaomba
 
Kamanda Henry Kilewo anafanya kazi nzuri sana huko.. Amedelete nakufuta kabisa ccm
 
Hee njoni Sumbawanga muone haijawahi tokea ktk hostoria ya nchi ccm kukosa wagombea zaidi ya 200 huku na hakuna hata wa kununua
 
Ikiwa kila mpenda mabadiliko atapiga kura ya kuiondoa CCM na matawi yake basi atakuwa amemtendea haki mtoto wa masikini ambaye kusoma kwake ni ndoto, atakuwa amemsaidia mkulima ambaye kilimo chake kimebaki promo tu ya kisiasa,atakuwa amemwokoa mgonjwa ambaye kupona kwake ni ndoto kutokana na wenye nchi kutojali miundombinu kiafya kwa kuwa tu wao na familia zao wana assurance ya kutibiwa nje hata kwa kuhisi tu mafua! CCM iwe chama cha Kihistoria kilichowahi kuwepo!
 
Hizi ni habari njema na nzuri saana hongera Chadema kwa kazi nzuri!
 
Salaam wadau
hapa mwanga uchaguzi wa sm umekolea. Magamba inapumulia mashine vitongoji vyote vya mjini. Kitpngoji cha kichangare zaidi ya watu mia tano wamejiandikisha wengi wao wakiwa vijan hali ambyo imemtisha mgombea ccm ambapo yy na chama chake wanapanga kuvuruga uchaguzi kitu ambacho vijana wanasema hapatatosha.kitongoji cha vudoi napo hali ni tete kwa mgombea wa ccm ambaye alikuwa mwenyekiti wa UVCCM wilaya na WaZazi naye hali yake ni tete kwani mpaka baadhi ya wanafamilia wake hawamtaki. Kitongoji kingine ni mikuyuni ambapo kina watumishi wengi wa serikali wakiwemo askari polis napo mgombea wa ccm amejikatia tamaa ambapo jana alipata aibu ya karne kwenye uzinduzi ambapo watu takriban tisa ndio waliohudhuria mkutano huo
nawawsilisha

hao walio hudhuria huo mkutano usikute watoto na wamama
 
Back
Top Bottom