Recent content by Malila

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

    Feeling za mwanaume zinabadilika kulinganana na mazingira yanayomzunguka saa hiyo Kwa mfano Simba ikifungwa na Yanga, na mmeo ni Simba( handle with care), lakini kama ni Yanga, ndo siku ya kuomba hela za vikoba.
  2. M

    JamiiForums Tanzania WALIKIMBIA CHINA KUKWEPA TARIFFS, LAKINI MWISHO WA SIKU WANARUDI TENA CHINA

    Kwa sbb ya ushabiki bado kuna watu wanaendelea kusema west wako juu, ukweli ni kwamba west anaporomoka kwa kasi sana, huyu jamaa macho ndogo kamgusa hata Mngindo wa kipatimu kule (rejea boda boda zilivyo zagaa)
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku ndege ya abiria kukatiza eneo hili la Anga ya morogoro

    Ikipita airforce one nayo mnatungua??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya tsh 100 mtu mwenye mtaji mdogo anapataje faida kwenye nafaka?

    je mhusika anategemea faida ya biashara kuendeshea maisha yake??
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya tsh 100 mtu mwenye mtaji mdogo anapataje faida kwenye nafaka?

    Swali kidogo, hiyo 3M ina cover nini? Je katika hiyo 3M umeweka usafiri, chakula, malazi, kodi\ushuru,storage au hiyo 3M baada ya kuondoa hayo mazagazaga?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Kwa malejent wa Arusha wanaikumbuka 77, tukio la hivi lilitokea, ilibidi kupita jikoni, shuka na kale kabonde na kwenda kutokea Kijenge ( Ziga Heritage), chezea wahuni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zifahamu kata 10 za Temeke zitakazopisha ICD

    Pale hawachukui pananuka sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba Sc ni Gari limewaka au ni moto wa makaratasi🤔

    Kinyume chake itakuwaje???
  9. M

    JamiiForums Tanzania WALIKIMBIA CHINA KUKWEPA TARIFFS, LAKINI MWISHO WA SIKU WANARUDI TENA CHINA

    Hata mimi mchina koko wa Kyela naanza kuwaelewa Wachina, maana kila kilicho juu ya nchi kwao ni deal, kasoro kunguru ndo sioni kama wanatafutwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha;-Wazungu waja na data kwanini ni nchi yao, kanuni wa kwanza ndiyo mwenye eneo!

    tuko njia moja na hao jamaa wa sa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tafuteni zao mbadala la biashara,Mahindi Kwa Sasa yanalimwa Kila pembe ya Nchi.Hadi Singida bei ni 45,000

    Ni sahihi kabisa, chakula cha mifugo kinahitaji mahindi kama sehemu ya raw materials, kwa hiyo mifugo inaanza kula halafu sisi ndo tunamalizia kula. Yaani sisi tunakula mahindi kupitia mifugo yetu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ninafanya kazi ya kuwabebea wengine ujauzito

    Kaushauri ka bure toka huku Manzese kwa mfuga Mbwa, bora aende kwenye vituo ambavyo hupokea watoto wachanga kabisa waliotupwa na mama zao au waliofiwa na mama zao na baba hajulikani. Dogo anaweza hamisha mzigo ukaenda kwa wajomba kilaini tu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ninafanya kazi ya kuwabebea wengine ujauzito

    Hivi mtoto si wa mama kweli ? Mtoto siku atataka kumjua mama yake na hapo sijui Mkataba unasemaje, hasa suala la upendo wa mtoto kwa mama yake mzazi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

    huhitajiki mkuu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

    sijakataa kuitwa chasaka nikiwa dar es salaam street moshi, ila ukija kwetu na wewe ni lipoma. Yaani kila jamii ina jina kwa mgeni yeyote anayefika kwao, zingatia hilo lipoma tarajiwa.
Back
Top Bottom