Recent content by malifedha75

  1. M

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Mtoa hoja anaonekana amekuja kishabiki wala sio kutakakuelimishwa, kwn kupinga au kukosoa kila kitakachofanywa na Serikali ndio mtaonekana ni Wapinzani na mkiendea na falsafa hiyo ndivyo heshima yenu itakavyotoweka, MSILAZIMISHE UKWELI KUWA UONGO SIKU ZOTE UKWELI UTABAKIA
  2. M

    Tulichokunywa na kula Ikulu Chamwino

    Kuna watu kazi yao ni kupotosha tu kama walivyokaririshwa leo wako tayari kupinga kila kitu hadi nyeupe wanataka iwe nyeusi, nani kawaambia ili muonekane ni wapinzani ni kupinga kila kitu Upinzani wenu utabaki palepale hata mkikubali penye Ukweli au kukataa tofauti na hayo tutazidi kuwadharau...
  3. M

    Nimeacha Kushabikia Taifa Stars rasmi

    Inawezekana matokeo yamechakachuliwa, kumbuka Tanzania kwanza lawama baadae , hata Brazil walipigwa idadi hiyo ila kuitamka ndipo naanza kukuelewa inafedhehesha poleni sote.
  4. M

    Hongera JK kwa kuiacha Dar ikifanana na Los Angeles

    Kajenga Mbowe na kipindupindu kinatokana tabia yenu ya uchafu hata nyie mnaopiga kelele lini ulishawahi kuhamasisha usafi ktk mtaa wenu au hadi Ccm iwafanyie usafi nyumbani kwenu
  5. M

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Sababu ya unafiki wao sasa wanajutia maamuzi yao WAKUKURUPUKA mnalalamika Nchi kupewa watu walewale uko sawa, Na cc pia tulitafakari kama nyie tukaona kuliko kumpa mtu yuleyule mliokuwa mkituaminisha ni.......no 1 tukaamua kumpa JPM NI SALAMA KWETU, ANZENI PLAN C MCHAFUENI NA YEYE labda...
  6. M

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    MNAPATA WAPI UJASIRI WA KUWAITA CCM MAFISADI wakati viongozi wenu hawathubutu kutamka hivyo, mbona mnajigeuza KUKU mkifukuzwa dk1 mmesahau kama mlifukuzwa cnyie mliokuwa mnalia fedha za wavuja jasho wa Tanzania zimeliwa na list ya wa2 (11)mkaharaaaaaaaa , mara wamegeuka Malaika mliowasafisha...
  7. M

    GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Maneno ya mfa maji mtakaaa mkisubiri Nchi imshinde na dua zenu mbaya, MUNGU HANAWAPENDA SANA WATANZANIA NDIO MAANA KATUPA RAIS BORA NA C BORA RAIS, TANZANIA KWANZAA MAJUNGU HAYANA NAFASI (HAPA KAZI TU)
  8. M

    GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Tumeridhika cc kulala sakafuni kuliko kuwapa wanafiki Nchi yetu, Tuliwagundua mlipokuwa mnakemea Ufisadi kinafki , Ngastuka.....
  9. M

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Asilimia kubwa mnaopiga kelele c kwa manufaa yenu bali kufuata mkumbo mnafanya kama ni fashion kuwa Upinzani kuweni mtajua ...
  10. M

    CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Wenje kaliwaaaaaaaaaaa , Nyamagana, ilemela wameliwa Dr wasameheeeeeee
Back
Top Bottom