Recent content by malezu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Haya jinenepeeni tu akina dada. Wanaume wanawachukia sana na ukiachika usilie na ukiona mmeo anachepuka unyamaze maana umeyataka
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

    Ukiona maumivu yanazidi sana ujue raha zaidi inakuja si muda mrefu. Kila apendaye alishaumizwa. Utapata wako. Serious ni pm nitakufariji japo tuonane tuongee. Njoo kwangu mama
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

    Ni pm tuongee nikupunguzie maumivu. Mie nitakufariji nimekuona unajua kupenda
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tulipodhani tunajua kila kitu

    Yaani hawa hawaelewi hata kilichotokea kwenye hiyo ndege ya malysian. Wamarekani wanajua na wanahusika na hiyo ndege. Kitechnolojia wako juu balaa msiongee vitu vya ajabu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu ubora,uimara wa nissan x-trail

    Kwa ujumla nissan ni.nzuri kama ni mpya ila used utalia si muda mrefu. Ni mzuri sana miguuni ila injin bomu. Wengi unaowaona wamejaa kwenye hizo gari wameweka injini za.rav4. Kama utakubaliana na kuweka injini nyingine nunua. Injini bomu sana kaka ndio maana bei zake down
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni vioja

    Hahahaahah na watu wanapongeza sana hiyo budget imetulia
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanyama (Tembo &Co.) Wana Faida Gani?

    Wewe nahisi ni mtoto na kama si mtoto basi hazikut.shi. na kama zinakutosha, huna nidhamu na kama una nidhamu kasome kwanza. Na kama umesoma leo nitamuomba mod akudelete kwenye huu uwanja. Nilitaka nikueleweshe lakini naona haina haja. Wewe ni mbulula tu. Kajenge huko kijijini kwenu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mama kidole huyo anko kidevu ndio naniii..,

    Mimi huwa najaribu kupata picha alivyo kidevu. Kwanza huwa nahisi kama mwislamu hivi ana simple kibaragashia, kaptula kubwa. Halafu ana mzuzu wa kichokozi hivi. Na prado yake makini ya kuwachanganyia habari wake za watu. Mwisho kabisa huyu atakuwa ni dalali. Alibabatiza dili moja akanunua gari...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mama kidole huyo anko kidevu ndio naniii..,

    Hahahha yaani we acha tu. Alipokuja mama kidole sasa hakukosea. Kidole alimtia kidole mama yake. Baba hanunui chipsi kama uncle kidevu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mama kidole huyo anko kidevu ndio naniii..,

    Uncle kidevu ndio nani.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mama kidole huyo anko kidevu ndio naniii..,

    Hahaha hilo tangazo ndio the best ya matangazo yote. Uncle kidevu anakula mzigo wa baba kidole
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gari gani poa ya ''kifamilia?''

    Nakusupport kaka. Kwanza kasema gari ya familia. Ataje familia kwanza lakini vozy ziko fresh
  13. M

    JamiiForums Tanzania Geor Davie kwenye Sibuka tv

    Hili nalo linahitaji shule kujua kuwa huyo ni mwizi wa fikra za watu na anatumia uj.inga wao kujiinua kimaisha
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    Yaani swali lako lina maidhi sana. Inawezekana wewe ni mbinafisi na hujali. Wenzio. Kujengea makabir ni utaratibu wa dunia nzima kama namna ya kuenzi wapendwa wao. Its culture which shapes the personality of an individual. So kuna umhimu wake tena sana. Sio tu katika kujifurahisha. Watu wengi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi ya ajabu kama tz...,

    Hiyo inaitwa tz mama. Inakataza kitu badala ya kuwatafutia kwanza cha kufanya ndio wawakataze wenyewe wanapiga marufuku utajua mwemyewe
Back
Top Bottom