Superiority complex unayo wewe ambaye umesema kitu ulichodai unakijua, nikakuuliza uthibitisho, ukashindwa kunipa uthibitisho, na bado unajivika ujuaji.
Katika saikojia kuna kitu kinaitwa "projection", ambacho kinahusika na mtu mwenye tabia fulani kuiona sana tabia hiyo kwa wenzake, hata kama haipo. Kwa hiyo si ajabu kuona mwizi anamshuku mtu mwingine kuwa mwizi.
Ndicho ulichofanya hapa.
Una project superiority complex yako kwangu.
Tena si Superiority Complex tu, bali upo "passove aggressive" ndiyo maana unanijibu kwamba huhangaiki kunijibu chochote, wakati ushanijibu.
Mimi nina king'ang'anizi tu kwa mtu yeyote anayeleta bull.shyt na kukwepa maswali ua msingi.
Hii kamwe haiwezi kuwa superiority complex.