Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,529
- 18,046
Hivi Hawa Wanyama wanaongelewa kila siku mpaka watu kukosa usingizi kwamba Mara wanaisha, Mara wanaibiwa, Mara Pembe zao zinauzwa, kwani hata wakiisha kwa nini ni Ishu? Mimi binafsi sioni faida ya kuwa na Tembo au sijui Simba, kiasi cha kufanya iwe hoja kubwa mpaka raisi wa nchi kuingilia...
Kwanza ukiniuliza mimi hata Selous (50 000km²) yote tukiichukua na kujenga Vijiji watu waishi ni sawa tu!
Kwanza ukiniuliza mimi hata Selous (50 000km²) yote tukiichukua na kujenga Vijiji watu waishi ni sawa tu!