Recent content by Malekelo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Kinondoni muslim..!that's BAKWATA property...!?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Hizo Phd unazozungumzuia ni za historia ya kanisa,theolojia,kanuni za kanisa n.k na si Kama unavyofikiri(sercular).Kuhusu kuandaa watu kila mkmkoa ili waachague muft mzuri,Hilo haliwezekani kwasababu fahamu kuwa Bakwata ni system.Yeyote ambaye hafut kwenye hiyo system hataweza kuingia na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    PhD za historia ya kanisa na theologia..!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

    The so called wasomi!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani za kiarabu zinasaidia bajeti za nchi masikini

    Gluteal thinking
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Waislamu wanamuona nyerere Kama adui Yao no 1 kwa sababu kwa makusudi aliivunja taasisi ya EAMWS,taasisi ambayo Kama ingeendelea kuwepo,mtoa mada asingepata hoja za kutoa mada yake.Baada ya kuivunja hiyo taasisi aliunda BAKWATA ambayo madhara yake ndio haya tunayoyaona.Kazi waliyo nayo ni kuuza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere; mgeni Mohamed Said - Radio Imaan

    Fikisha ukweli dr Mohamed Said.,japo wapingaji watachukia. Siku zote ukweli ni wenye kushinda.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni upi U - professor wa Mh Lipumba? Sina shaka na elimu yake lakini.....

    You are a real great thinker...!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni upi U - professor wa Mh Lipumba? Sina shaka na elimu yake lakini.....

    Uislamu umeingiaje Tena?inaonekana chuki zako dhidi ya uislamu umeamua kuziweka wazi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pinda akiri kuzomewa Mwanza, afunguka wananchi kusahauliwa

    Habari niliyoisikia ni kuwa Wazee wa mkoa wa Mwanza ndio walioomba msamaha.Hiyo ya waislam sijaisikia.Au kwa kuwa aliyehojiwa ni muislam?Udini tusiupe nafasi.Yakitokea machsfuko hayachagui mwenye dini na asiye na dini.....!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lt. Gen Abrahaman Amir Shimbo kustaafu kesho

    Acha udini.yeyote anayetazama mambo kidini, naye ni mdini tu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Kasome kitabu kinachoitwa kanisa katoliki na siasa za Tanzania,kilichoandikwa na padri Syvalon ndio utajua kwanini radio imaan wanazungumza wanayozungumza.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Ndarichako jipange ur next.....

    Hapa naona chuki tu dhidi ya uislam na waislam.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Acha chuki.Unataka kusema wote walioandamana na wanaohudhiuria mikutano ya CDM ni wakiristo???
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kaya 343 Kinondoni zagomea Sensa Dar es Salaam

    Tatizo halipo kwenye kutohesabiwa tu,bali hata kwa waliohesabiwa data zimechakachuliwa.Mfano kwangu karani alimkuta wife akamuuliza maswali 3 out of 62;jina,kazi na umri.Kwa jirani aliwakosa akaacha maagizo wakija waache majina tu,keshoyake asubuhi atayapitia i.e swali 1 out of 62... HIYO NDIYO...
Back
Top Bottom