Recent content by malavanu

  1. malavanu

    JamiiForums Tanzania Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

    Mjapani hiyo ndiyo biashara yake ya kufa na kupona ndiyo uchumi wake, tofauti Na German anadeal zaidi na heavy trucks ambazo performance zake zinauza Dunia nzima. Scania, Volvo, Benz actros n.k.
  2. malavanu

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata mwenyeji Mwakaleli, Mbeya

    Ile bighorn ungetoa ile injini ya 4jx1 ungeweka 4jg2
  3. malavanu

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata mwenyeji Mwakaleli, Mbeya

    Joshua vipi Ile Bighorn inaendeleaje?
  4. malavanu

    JamiiForums Tanzania Kuweka lami barabara ya Iyegeya hadi Sawala ila Mgololo highway haina lami sio poa!

    Bela ipoo veve u mwenyeji sanaaaaa
  5. malavanu

    JamiiForums Tanzania Kwanini maneno yasiyotamkwa mbele ya kadamnasi ya watu wameamua kuyaweka katika kamusi ya Kiswahili sanifu? What's the logic behind this?

    Kadamnasi= mkusanyiko wa watu. Kadamnasi ya watu? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. malavanu

    JamiiForums Tanzania Mshamba mimi sijawahi kwenda Club/disco, washamba wenzangu tukutane hapa!

    Ukijaribu kwenda disco, hutaacha! Niliingi night club moja Mjini Kigari Rwanda da sitasahau, watoto wa kinyarwanda wazuri jamani. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. malavanu

    JamiiForums Tanzania Nilisafiri kwa pikipiki Dar mpaka Tabora

    Da ndugu yangu nimecheka sana ila pole kwa kuondokewa na dingi yetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. malavanu

    JamiiForums Tanzania Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

    Nina Mercedes compressor toka 2006 mpaka leo inanisaidia sana kwa safari za hapa bongo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. malavanu

    JamiiForums Tanzania Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini?

    Mjomba wacha utani Benz sio reliable? BMW sio reliable? Audi sio reliable? Tatizo bongo hakuna mafundi. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. malavanu

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia kwenye safari yangu ya kwanza ku- drive toka DSM hadi iringa

    Utatumia sh 320,000/= kwenda pia 320000/ kurudi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. malavanu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni kwa lipi waafrika tunatukanwa hivi na wachina?

    Si wanasemaga wachina ndio marafiki wa nchi za Africa? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. malavanu

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatutengenezi barabara za zege tunakomaa na lami?

    Barabara za zege hazina friction au msuguano mkubwa ukilinganisha na lami. Material inayotumika kutengeneza Matairi ya magari Inafanya Tairi ziwe na msuguano imara(traction) ikiwa kwenye lami kuliko kwenye zege. Mfano mzuri ni parking zilizopo ghorofani mara nyingi utakuta unapopanda tairi...
  13. malavanu

    JamiiForums Tanzania Tv za Panasonic ubora wake

    Ulonzile nzawo, achukue tu, usiulize ubora kwa Panasonic, world bland Sent using Jamii Forums mobile app
  14. malavanu

    JamiiForums Tanzania Makonda awataka wananchi kutulia na kutotangaza Mgonjwa wa Corona kwani hawana mamlaka

    Mpaka leo hakuna alieinua mdomo kumjibu Mr Pompeo. White house inatisha ooooh Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom