Tv za Panasonic ubora wake

Sep 4, 2014
7
1
Naomba msaada wa kujua chochote kuhusu tv digital inches 43 kutoka kampuni ya Panasonic ubora wake na changamoto nipo ukingoni kuchukua maamuzi ya kununua sasa tatizo sijajua zaid juu ya ubora na changamoto
 
Mimi mzee alinunua tv ya Panasonic ya rangi,inch 21 mwaka '94 ,ina kama mbao hivi kwa pembeni.kiukweli hiyo brand ina roho ya paka.mpaka leo ipo na inafanya kazi kama kawaida.yani mimi nazeeka lakini tv haifi wala haisumbui.Nakushauri ununue tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mzee alinunua tv ya Panasonic ya rangi,inch 21 mwaka '94 ,ina kama mbao hivi kwa pembeni.kiukweli hiyo brand ina roho ya paka.mpaka leo ipo na inafanya kazi kama kawaida.yani mimi nazeeka lakini tv haifi wala haisumbui.Nakushauri ununue tu

Sent using Jamii Forums mobile app
94 una access ya kununua tv kweli ww wa makamo kwangu mm hapo ndo na miaka 12 home atuna tv tunaangalia kwa jirani na mdago wangu Gina dii aiseee...

121.
 
Tangu nikute leble za panasonic na sony Zinauzwa kama njugu kariakoo niliacha kuamini ubora wa hizi brand nadhan ungenunua tangu 2015 kurudi nyuma ungepata nzuri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uzoefu na hizi flat scree ila zile za chogo nimezitumia. nilipewa TV chogo ya Panasonic imenunuliwa mwaka 2000, nimeiutumia mpaka nikabidi nibadilishe kwa kumpa mtu mwaka 2017 lakini ilikuwa nzima na haijawahi pelekwa kwa fundi kwa matengenezo ya aina yoyote mpaka nilipoamua kuigawa, ilikuwa na rangi nzuri halafu sound system yake ilinikosha na mode ya base, kama ka-subwofer hivi interior.

Hizi za ki-sasa sizijui kwa kweli.
 
Sina mashaka na bidhaa yoyote ya Panasonic ila tu isiwe under licence Na kama ikiwa under licence basi iwe imetengenezwa Malaysia.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Nilinunua Panasonic viera,flat screen 32”ya Malasia mwaka 2006 hadi leo ni mwendo mdundo.Haijawai kugoma na kwa kutumia flash the app inacheza video format nyingi including MP4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom