The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,242
- Thread starter
- #141
Hahahahaha mmoja mjini dar nilimshusha nikampa nauli apande daladalaMa dem wanazingua sana kwenye piki piki, kuna mmoja mi nshawahi mwambia NJOO UENDESHE WEWE, akabaki kimya
nan anakupita hapo bara baran sipendi piki piki ndogo kwa jinsi unakuta imeminywa wee afu haiendi kiasi kwamba bus hizi zina vts lkn huzikimbii wanakupita wanavoweza hilo ndo tatizo lkn ukiwa na kitu cha maana li kisbo likikupita unaliungia nyuma