Kulikoni kwa lipi waafrika tunatukanwa hivi na wachina?

Wabaya ni viongozi wa Afrika .
Mchina anakuja kuwekeza mpaka kwenye kamari na kutuuzia pipi na biscuit .
Hivi kweli Afrika hatuwezi kutengeneza hata biscuit za kula watoto wetu?

Ukipita mpaka vibarabara vya kumwaga Moramo unakuta wajenzi ni Wachina .
Kuna tatizo kwenye akili zetu sisi waafrika. Haiwezekani pesa za kodi zetu asilimia kubwa tunawapelekea wachina.
Mpaka Tails na Vikombe tunaagiza kutoka China.
Tunauziwa vitu vya hovyo toka China badala ya kuvipiga marufuku.

Viwanda vyetu ni vipi na vitakua lini kama tunaagiza mpaka viberiti na toothpicks toka China!!

Tuagize mitambo lakini sio uchafu. Viwanda vyetu vya betri vimekufa zimebaki betri za kutumia siku mbili kwenye tochi na radio.

Acha tutukanwe .
Tunaiga mpaka namna ya kishenzi ya kufanya ngono bila kuwa na kiasi. Vijana vijiweni wanawaza ngono wakati hawana nguvu za kiume yaana fedha .
Waafrika tunaiga mambo ya hovyo kutoka kwa watu wa hovyo.
Kuna MTU aliiga Bajaji akaimodify akatengeneza ya kwake . TBS wakampiga Vita kama korona. Leo hii Tanzania tungekua tunawauzia warundi Pikipiki za miguu mitatu.

Tuna Kiwanada cha Nyumbu pale kibaha lakini sioni hata Lori la kubeba kuni kwenye kambi za Jeshi lenye Nembo ya NYUMBU zaidi ya gari za wahindi Ashock Land. Yote ni ubinafsi na uroho wa kupata Mali bila kufikirisha vichwa na kisha kutumia fedha za kifisadi kwenye ulevi na wanawake na kujenga mafensi ya nyumba.


Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hata haya maviongozi yetu yanatuangusha sana,hivi we fikiria likiongozi kama bashite kweeeeeeeliiii
 
Hao mabeberu wanaojiita wana iQ kubwa wanaoana wanaume kwa wanaume sijui hapo ni nani mwenye iQ kubwa


Sent using IPhone X
 
USI-PANIC BRO. Dawa ya moto ni moto tu.Wakijifanya wajanja ni kuwafanyizia tu.Wakiwafanya kitu mbaya walioko China nasi tunaanza na walio huku.Wanigeria walifanya vizuri sana kwa wa-South.Jino kwa jino!
Hata wiki iliyopita wamechoma investment za chines huko Naija japo homophobia sio nzuri
 
Naona kama kuna issue imetokea inayowahusishwa na blacks na ndiyo maana wanawashupalia hivyo ngoja nifuatilie zaidi soma picha namba 2 posti ya 4 kutoka juu utaona huyo anayeongelea ni kama anagusia tukio fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu baadhi ya walivyoandika ni kweli ila jinsi walivyoandika ni kitoto na wameandika kijinga sana.


Ni vizuri kujua kumbe hata china kuna wachina wajinga pia.
 
Wangetakiwa waandikaje?
Mkuu wametumia emotions kuandika walichoandika.

Emotions za chuki.

"Im seriously racist. Blacks who https://jamii.app/JFUserGuide around in china should die soon.

Unadhani mtu mwenye akili zake anaweza kuandika hivi ukiondoa chuki?
Unadhani kwanini ameandika hivyo?
 
Naona kama kuna issue imetokea inayowahusishwa na blacks na ndiyo maana wanawashupalia hivyo ngoja nifuatilie zaidi soma picha namba 2 posti ya 4 kutoka juu utaona huyo anayeongelea ni kama anagusia tukio fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwa kipindi cha lockdown ya corona...sikumbuki incidence lakn kuna tukio lilitokea (nahisi ni ile weusi hawakuwa affected na walitamba kwa wachina wao ni superior race ndomana corona haiwaui na weusi wakawa hawafuati zile tahadhari kikamilifu)wachina wakawa wanataka weusi waondoke china
 
Hivi wachina nao wanajiona watu kuliko wengine, hivi ni asilimia ngapi huwa wanafikisha angalau kilo 40, maana kwa viumbo vile na vi sura hivyo bora hata wangeongea wazungu...
Hayo sio tatizo kinachomatter ni maendeleo yao yanayoakisi akili zao mkuu.

Sura nzuri,makalio na kilo haviondoi umasikini africa.

Kama hivyo africa tungekuwa powerful continent duniani na wala wasingethubutu kuandika hizo kejeli na matusi ukiondoa pieces za ukweli.
 
Jiulize kama wewe unawachukia kiasi hicho. Najua jibu ni hapana.
Hizo chuki zao dhidi ya blacks ni udhaifu wao dhidi ya blacks.

Wengi kinachowaudhi ni kuwa,,, madem wao mnawapiga shoo shoo hadi wanawadharau waume zao.

Mwafrika anachukiwa kwa urijali/ushababi wake.

Na mimi nawashuri vishughurikieni vilivyo hivyo vichina, matusi yetu yawe kwa vitendo wao tuwaachie kuongea.
Pigeni show wabongo wenzangu.

Mi nipo Nanjing province hapa, nawapiga shoo,,
 
Back
Top Bottom