Naomba kupata mwenyeji Mwakaleli, Mbeya

Naomba kupata mwenyeji Mwakaleli, Mbeya

Mkuu huko Mwakaleli ni kijijini interior kupita maelezo.

Hakuna mishe rasmi za vijana wanaochakalika huko wamejaa wazee na vijana makamo ya shule.

Vijana wengi wakimaliza shule na kufikia umri wa kutafuta maisha wanakimbilia tukuyu au mbeya mjini.

Jitafakari kwanza mkuu na jaribu kupaelewa kwa undani huko Mwakaleli kabla ujaamua kwenda huko.
Anakwenda kulima mahindi na maharage, yuko vizuri.
 
Habari wakuu,

Niliwahi kuomba ushauri kuhusu eneo lipi niende kati ya TUKUYU au KYELA wadau wakanishauri niende kuishi eneo moja linaitwa Mwakaleli.

Hivo nilikua naomba kama unaishi Mwakaleli au una mtu eneo hilo ambaye anaweza kuwa mwenyeji wangu tuwasiliane PM.
Mkuu majuzi nilikuwa Mbeya.

Unahitaji kufanya nini Mwakaleli?

Lakini nakushauri nenda Kandete pamechangamka na unaweza kuanza maisha huko. Pia ukifika huko utapata kampani ya kutosha wala hakuna haja ya kutafuta wenyeji mitandaoni.

Ardhi ipo
Walimaji wapo
Wanunuzi wanatoka mijini kuja kuchumbia migomba ya ndizi
Baridi ipo ya kutosha na kuhifadhi

Humu watu watakupotosha.

Nenda Mwakaleli unaweza kupandia gari pale Mwanjelwa mjini au Tukuyu. Kama unaweza kupandia gari pale njiapanda Katumba.....

Mimi naendaga huko mara kwa mara ndo napafahamu
 
Mkuu mwambie kuwa na bangi ipo ya kutosha na pombe za kienyeji kutoka matamba atachoka mwenyewe
 
Karibu sana Mwakaleli, kwenye neema ya watu wakarimu, mito mingi, mvua nyingi na ardhi yenye rutuba. Kunastawi sana viazi, magimbi, chai, maparachichi na ndizi. Hali ya hewa safi na utulivu. Ni kama Lushoto, Amani (Muheza), Marangu, Machame, Rombo au Muleba, hususan Kamachumu.

Usafiri wa uhakika kuanzia alfajiri hadi jioni kila siku kuelekea Tukuyu, Mbeya au Kyela. Mitandao yote ya simu inakamata. Barabara ya kokoto na inapitika muda wote. Ila iko mbioni kuwekwa lami tokea Katumba kiasi cha km 35

Naweza kukuuzia ekari moja karibu na barabara, umeme wa REA umepita hapohapo pamoja na maji ya bomba. Karibu tena!
 
Nimepapenda Mwakaleli.

Niuzie mimi hiyo ekari
 
Me! Beberu wewe pambana na hali yako sisi tuna wake, wake wenyewe wa huku maji maramoja kama maharage ya Kyela. Njoo gesti zipo tu na wahudumu wanawake wapo, tusije tukatafutana ubaya.
Pumbavu kabisa,mtu anauliza kama huna haja ya kumjibu si unanyamza tu.
 
Yaani watz bana sijkui ndo laana kumuua jpm bado inawatafuna miaka na miaka sasa? Mtu kasema anaenda mwakareli wewe hujui hata anaenda kufanya nini ushaanza kumwambia kule kuna wazee mara wachawi,hapafai,kijijni kule hakuna mishe,nenda tukuyu ama mbeya mjini,wengine wamesema atafilwa asee hivi hizi ni akili? mleta mada ulifanikisha safari yako?
 
Back
Top Bottom