Recent content by malapa_kassim

  1. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Nimetembea kimapenzi na dada yangu wa damu, ninaomba ushauri

    Acha kurudia mada mkuu.
  2. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Nimepata mke JF lakini bado nina hofu naye sana kuhusu ex wake

    Maisha ni magumu mno,mnatakiwa mjadili maisha na jinsi gani mtakavyojikomboa ktk Lindi LA ufukara,NYIE MNAJADILI UPUUZU ULIOPITA,AKIANZA KUONGEA WEWE KULA GANJA UPOTEZE MAWAZO
  3. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Kati ya Tandika, Buguruni na Mwananyamala ipi inaongoza kwa kuwa na Masela wa Kutukuka?

    Njoo mwananyamala tena amia kule kisiwani,utafanikiwa sana kwani kisiwani kila mtu anajua kuogelea.
  4. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Bunge kuwafungia wabunge kuhudhuria vikao ni ukiukwaji wa KATIBA

    Tatizo liliopo hakuna heshima pande zote,sio spika wala baadhi ya wabunge,na maisha ya kambale tu mule mjengoni
  5. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

    Hakika,pia nuru katika USO inakosekana
  6. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Wasomi kama kafumu,ni tatizo katika taifa,ujiangalia upande wao na wanaokila pamoja,tungekuwa na sheria za kikomonist,angestaili kifungo
  7. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania HUZUNI: Hili neno "KATA" la Mheshimiwa Rais limezua na linazua hali mbaya sana nchini

    Huwa wanapewa pesa,pesa zisinhetolewa,mang'ombe asingetamka kata.Hilo la wafungwa,mapema sana huingia selo,ata umeme ikiwepo mfungwa ana shughuli nao,ila litawasaidia walinzi kuangalia usalama,KUWENI MAKINI NA MKIANDIKACHO
  8. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea

    Kilimo si mchezo ndugu,maandalizi kwanza,rasilimali pesa na vitendea Nazi,mzee wa msoga kaanza kitambo maandalizi,acheni kiwaingua majanki
  9. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Mtunda auawa kwa kupigwa risasi

    Haiwezekani,Mwigulu L.Nchemba,lazima atupe maelezo Yakinifu,kwanini kila Siku kibiti Mara mkulanga?
  10. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Yahusu Tanzania kuanza kuzalisha nyukilia

    Maendeleo ya elimu hakuna,utapata wapi elimu ya nyuklia?
  11. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo una utani na sisi?

    Wanaongeaga wanapokuwa na njaa,wanapopewa chakula unyamaza kimya
  12. malapa_kassim

    JamiiForums Tanzania Yamoto Band waachana rasmi, kila mtu yupo kivyake

    Sasa ni kusikiliza rap katuni kama zamani
Back
Top Bottom