Nimepata mke JF lakini bado nina hofu naye sana kuhusu ex wake

Siku nyingine unapofungua uzi jitahidi kuweka angalau paragraph pamoja na vituo. Nimejaribu kuformat uzi wako hapa chini ili usomeke vizuri

Habari za majukumu ndugu zangu!

Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum!

Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana mke wangu nilimpata hapa na kilichonifanya kuwa naye mbali na comments za watu kuwa hapa hakuna mume/mke mwema in kuwa watu wa hapa ndio watu wa mtaa pia niwaulize swali moja kwani mnadhani wanaiweka post zao humu wana nchi yao tofauti?

So wote waliopo humu ndo hao hao tuko nao mtaa wakiwa na majina mengine tofauti na title zao.

Kwa sasa nina mke niliyekutana naye kupitia jf tuna Mtoto mmoja very bright maisha yanaenda and she loves me dearly.

But nina tatizo naomba wana jf mnisaidie tatizo language ni 'trauma experience'/psychological banging' nina maana kuwa japo nimeishi naye miaka minne sasa likija suala la kuwa alishawahi kuwa na MPE wake huko mji mkuu wa Tz napata presha moyo wangu unaumia sana bcoz of my "ego" na niliweza kuwanaye baada ya kupewa ushauri na MTU kuwa kuoa MTU asiye bikira si tatizo kwani tunaishi kizazi ambacho usafi wa moyo hakuna na kwa jinsi kulivyo na maendeleo ya science na technology basi ni vigumu kumpata binti bikira kwa hiyo nilifanya kinyume na matarajio/imani yangu.

Sasa wana jf naombeni ushauri nitavumilia hali hii mpaka lini? kwa sababu hata akianza kunisumulia mahusiano na ex wake moyo wangu unapasua na kujilaumu sana kwamba kwanini nilooa mwanamke aliyejuliwa na mwanaume mwingine!?

Na anayomsifia kwamba alikuwa anakula kuku sana, alikuwa anampa pesa za kutosha, alikuwa analala naye guest za luxury yaani naumia mno why this?

Nifanyaje jamani ili niwe huru nisiwaze jinamizi hili?
Alikuwa na stress ndo maan akasahau vituo,
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Maisha ni magumu mno,mnatakiwa mjadili maisha na jinsi gani mtakavyojikomboa ktk Lindi LA ufukara,NYIE MNAJADILI UPUUZU ULIOPITA,AKIANZA KUONGEA WEWE KULA GANJA UPOTEZE MAWAZO
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mi uwa Nina washangaa sana wanaume. Mnadhani mkioa bikra basi hawatachepuka? Kutulia ni tabia ya mtu. Leo unatolewa bikra na huyu lakini unakutana na mtu mzuri zaidi ya aliyekutoa bikra. Urudi nyuma kufata nini? Unaweza kuoa bikra na bado akakutana na wengine, na hapo ndo kilio cha mtu mzima kitasikika. Bora hao waliozurura na sasa wanataka kutulia. Mtu ambaye atakubali kubeba madhaifu yako na kuyaziba huyo ndiye hasa wa kuoa au kuolewa nae.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hii kama sio chai basi inaonekana kwenye ndoa yenu mna utoto mwingi sana...mmekaa miaka minne bado hamjapata cha kukumbushana na kusimuliana hadi msimuliane ma x wenu?
 
Ongea nae mwambie aache kukusumulia ya wake wa zamani
Mwanamke anayeongelea hayo ni kwamba anatamani uwe ex wake, na kuwa haujamfikisha kwenye raha anazotaka maishani.

Kuifupi anafanya kitu kibaya na ni tabia mbaya, sasa ukae ujiulize ni kivipi anakudharau hadi kuyaongea hayo kwako ni hakuheshimu kabisaaaaaa.

Inabidi umkanye akiendelea basi jua kuna tatizo na ana moyo wa kuchepuka au niseme bado anawasiliana nae au anatamani kuwa nae tena.

Mkanye kama mwanaume ukiona vipi basi na wewe mpe zako. Pole yako mchunguze huyo mkeo anafanya vibaya sana na kukudharau sanaaaaaaaa.
 
Ongea nar mwambie aache kukusumulia ya wake wa zamani
Mwanamke anayeongelea hayo ni kwamba anatamani uwe ex wake, na kuwa haujamfikisha kwenye raha anazotaka maishani.

Kuifupi anafanya kitu kibaya na ni tabia mbaya, sasa ukae ujiulize ni kivipi anakudharau hadi kuyaongea hayo kwako ni hakuheshimu kabisaaaaaa.

Inabidi umkanye akiendelea basi jua kuna tatizo na ana moyo wa kuchepuka au niseme bado anawasiliana nae au anatamani kuwa nae tena.

Mkanye kama mwanaume ukiona vipi basi na wewe mpe zako. Pole yako mchunguze huyo mkeo anafanya vibaya sana na kukudharau sanaaaaaaaa.
Naye asimulie zake
 
Mimi nadhani hukutaka ushauri bali umeeleza hapa ukijua atasoma na ujumbe utamfikia.

So, kwa hilo hongera.

Ushauri wangu tu ni wakati mwingine jitahidi kumkabili mkeo na kuongea naye ana kwa ana kwa jambo linalokutatiza au kukunyima raha.

Kila la kheri mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Siku nyingine unapofungua uzi jitahidi kuweka angalau paragraph pamoja na vituo. Nimejaribu kuformat uzi wako hapa chini ili usomeke vizuri

Habari za majukumu ndugu zangu!

Napenda kuwapongeza waliofungua/anzisha huduma hii ya jamii forum!

Kwa wale ambao huuliza kama kweli unaweza kupata mwenza humu nawaambia jibu in NDIO kwa maana mke wangu nilimpata hapa na kilichonifanya kuwa naye mbali na comments za watu kuwa hapa hakuna mume/mke mwema in kuwa watu wa hapa ndio watu wa mtaa pia niwaulize swali moja kwani mnadhani wanaiweka post zao humu wana nchi yao tofauti?

So wote waliopo humu ndo hao hao tuko nao mtaa wakiwa na majina mengine tofauti na title zao.

Kwa sasa nina mke niliyekutana naye kupitia jf tuna Mtoto mmoja very bright maisha yanaenda and she loves me dearly.

But nina tatizo naomba wana jf mnisaidie tatizo language ni 'trauma experience'/psychological banging' nina maana kuwa japo nimeishi naye miaka minne sasa likija suala la kuwa alishawahi kuwa na MPE wake huko mji mkuu wa Tz napata presha moyo wangu unaumia sana bcoz of my "ego" na niliweza kuwanaye baada ya kupewa ushauri na MTU kuwa kuoa MTU asiye bikira si tatizo kwani tunaishi kizazi ambacho usafi wa moyo hakuna na kwa jinsi kulivyo na maendeleo ya science na technology basi ni vigumu kumpata binti bikira kwa hiyo nilifanya kinyume na matarajio/imani yangu.

Sasa wana jf naombeni ushauri nitavumilia hali hii mpaka lini? kwa sababu hata akianza kunisumulia mahusiano na ex wake moyo wangu unapasua na kujilaumu sana kwamba kwanini nilooa mwanamke aliyejuliwa na mwanaume mwingine!?

Na anayomsifia kwamba alikuwa anakula kuku sana, alikuwa anampa pesa za kutosha, alikuwa analala naye guest za luxury yaani naumia mno why this?

Nifanyaje jamani ili niwe huru nisiwaze jinamizi hili?
Thanx I was haste
 
muache tu aendelee kukusimulia, inaelekea hata wewe unapenda kumsikiliza wasiwasi wa nini sasa? ungekua hupendi ungemkanya.
 
Nilimkanya but something deep inside he did for her manifest unconsciously
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom