Recent content by Makuwani

  1. Makuwani

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

    Kwanza ututhibitishie uwepo wa hao mababu zako "bilioni" waliishi wapi? Mwaka gani?
  2. Makuwani

    JamiiForums Tanzania Kiona Mbali: Bashite kama Lowassa; Mama kama Kikwete. Kisha Bashite atajiuzulu kumuokoa Mama

    mmiliki wa siri zote ni Rais. vp mtu unatuaminisha kuwa yeye anajua siri za nchi kuliko usalama na Rais
  3. Makuwani

    JamiiForums Tanzania Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

    elfu 3000 (elfu elfu tatu) maana yake milioni tatu
  4. Makuwani

    JamiiForums Tanzania Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    kwanini unamwita binadamu? yaani bin adam! maana yake mwana wa adam, mtoto wa adam hivyo basi jina lake tu linatosha kujua mwanzo wake
  5. Makuwani

    JamiiForums Tanzania Waislamu 11 Wakamatwa Nigeria kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani

    ni sawa na kusema malaya waachwe huru wajiuze
  6. Makuwani

    JamiiForums Tanzania Waislamu 11 Wakamatwa Nigeria kwa kutokufunga Mfungo wa Ramadhani

    hivyo wakristo hufanya katika tawala zao kwahiyo kuwa mvumilivu
  7. Makuwani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    siyo mpango wa Mwenyezi Mungu
  8. Makuwani

    JamiiForums Tanzania We CHADEMA, umepiga pigaje hapo?

    una akili sana
  9. Makuwani

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Hapana! Ni hujuma ili tufungwe zaidi
  10. Makuwani

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    acheni kusajili wazee
  11. Makuwani

    JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    siyo mistake ni maokoto
Back
Top Bottom