Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,241
11,498
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana

Lakini mimi nachotaka kujua ni kwamba Mababu zetu kabla ya kuja wa Waarabu walikuwa na imani zao na maisha yalienda, Mabilioni ya mababu zetu walishafariki kabla ya Mwarabu kuja kuwasilimisha waliokuwa hai kwa wakati huo na ndio nyie leo mnaitwa Waislam.

Swali langu ni moja tu, Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kutoka Saudi Arabia kwa sasa Wapo Motoni au Wapo peponi?

Na kama wapo Motoni kosa lao ni lipi?
 
Kwa kukusaidia tu, sheria haiwezi kumuhukumu mtu ikiwa bado haijatungwa.

Uislamu umeanza kwa Muhammad japo inasemekana toka kuumbwa kwa mwanadamu, ibrahimu,musa,daud,issa na muhammad wote walibeba mafundisho ila hapa Muhammad kayakusanya yote na katika kitabu cha Quran kimekuja kueleza hukumu(dhambi/baya au thawabu/zuri).

Ikaja kuelezea ni njia zipi atapitia watakaovuna hizo dhambi na thawabu na mwisho ikaelezea mambo ya siku za mwisho/kiyama.

Sijui kama nimekujibu
 
kwa kukusaidia tu,sheria haiwezi kumuhukumu mtu ikiwa bado haijatungwa.

uislamu umeanza kwa muhammad japo inasemekana toka kuumbwa kwa mwanadamu,ibrahimu,musa,daud,issa na muhammad wote walibeba mafundisho ila hapa muhammad kayakusanya yote na katika kitabu cha quran kimekuja kueleza hukumu(dhambi/baya au thawabu/zuri).

ikaja kuelezea ni njia zipi atapitia watakaovuna hizo dhambi na thawabu na mwisho ikaelezea mambo ya siku za mwisho/kiyama.

sijui kama nimekujibu
Maana yake waliotangulia kabla wote peponi?
 
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana

Lakini mimi nachotaka kujua ni kwamba Mababu zetu kabla ya kuja wa Waarabu walikuwa na imani zao na maisha yalienda, Mabilioni ya mababu zetu walishafariki kabla ya Mwarabu kuja kuwasilimisha waliokuwa hai kwa wakati huo na ndio nyie leo mnaitwa Waislam

Swali langu ni moja tu, Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kutoka saudi Arabia kwa sasa Wapo Motoni au Wapo peponi?

Na kama wapo Motoni kosa lao ni lipi?

Kwanza ututhibitishie uwepo wa hao mababu zako "bilioni" waliishi wapi? Mwaka gani?
 
Nikusaidie kwa elimu yangu ndogo ya uislam ni kuwa,

Kuna kundi la wanadamu siku ya qiyama watapewa mtihani wao kupimwa wanamuamini Muumba? Yaani wakifufuliwa kabla ya kuona pepo wala moto watakuwa na ulimwengu wa mtihani.(Kumbuka neno akhera ni idadi kubwa ya mi-ulimwengu) Wataoamini peponi na wataofeli motoni.Hao ni lile kundi waliishi bila kufikiwa na ujumbe wa dini mfano wakazi wa amazon kati kati huko au mfano mambabu zetu.

Ama tuliobaki na kufikishiwa ujumbe tutahukumiwa kwa kadiri tulivyofanyia kazi ujumbe
 
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana

Lakini mimi nachotaka kujua ni kwamba Mababu zetu kabla ya kuja wa Waarabu walikuwa na imani zao na maisha yalienda, Mabilioni ya mababu zetu walishafariki kabla ya Mwarabu kuja kuwasilimisha waliokuwa hai kwa wakati huo na ndio nyie leo mnaitwa Waislam

Swali langu ni moja tu, Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kutoka saudi Arabia kwa sasa Wapo Motoni au Wapo peponi?

Na kama wapo Motoni kosa lao ni lipi?

Umeulizwa Swali zuri;
Kwanza nikukumbushe tu kuwa, mfumo mzima wa maisha ya Kawaida ya Binadamu hata bila kujua Uislam tayari unatosha kabisa kuwahukumu watu.

Mfano: Kwani Inahitaji dini kujua kuwa kufanyia Binadamu mwenzako jambo la kumuumiza kwa maksudi ni jambo baya? nk nk

Ninachomanisha ni kuwa: Matendo ya wale waliotangulia yata angaliwa uhalisia wake kufuatana na mazingira/Nyakati za kipindi chao walicho ishi. Kwa yale makosa yaliyofanyika kutokana na kutokuwepo na muongozo (Elimu) ya Uislam nyakati hizo mfano; Kunywa Pombe nk tuna amini kabisa kuwa, Mungu wetu Mwingi wa rehma atawasamehe
 
Umeulizwa Swali zuri;
Kwanza nikufundishe tu kuwa, mfumo mzima wa maisha ya Kawaida ya Binadamu hata bila kujua Uislam tayari unatosha kabisa kuwahukumu watu
Mfano: Kwani Inahitaji dini kujua kuwa kufanyia Binadamu mwenzako jambo la kumuumiza kwa maksudi ni jambo baya? nk nk
Ninacho manisha nikuwa: Matendo ya wale waliotangulia yata angaliwa uhalisia wake kufuatana na mazingira ya kipindi chao walicho ishi na wale waliyofanya makosa kwa sababu hawakuwa na Elimu ya Kiislam nyakati hizo, tuna amini kabisa Mungu wetu Mwingi wa rehma atawasamehe
Mkuu kwaiyo hukumu itategemea dhamira ya tendo au sheria ya dini?
 
Umeulizwa Swali zuri;
Kwanza nikufundishe tu kuwa, mfumo mzima wa maisha ya Kawaida ya Binadamu hata bila kujua Uislam tayari unatosha kabisa kuwahukumu watu
Mfano: Kwani Inahitaji dini kujua kuwa kufanyia Binadamu mwenzako jambo la kumuumiza kwa maksudi ni jambo baya? nk nk
Ninacho manisha nikuwa: Matendo ya wale waliotangulia yata angaliwa uhalisia wake kufuatana na mazingira ya kipindi chao walicho ishi na wale waliyofanya makosa kwa sababu hawakuwa na Elimu ya Kiislam nyakati hizo, tuna amini kabisa Mungu wetu Mwingi wa rehma atawasamehe
Je Kula nguruwe utajuaje ni dhambi hukuambiwa na Waislam?
 
Umeulizwa Swali zuri;
Kwanza nikufundishe tu kuwa, mfumo mzima wa maisha ya Kawaida ya Binadamu hata bila kujua Uislam tayari unatosha kabisa kuwahukumu watu
Mfano: Kwani Inahitaji dini kujua kuwa kufanyia Binadamu mwenzako jambo la kumuumiza kwa maksudi ni jambo baya? nk nk
Ninacho manisha nikuwa: Matendo ya wale waliotangulia yata angaliwa uhalisia wake kufuatana na mazingira ya kipindi chao walicho ishi na wale waliyofanya makosa kwa sababu hawakuwa na Elimu ya Kiislam nyakati hizo, tuna amini kabisa Mungu wetu Mwingi wa rehma atawasamehe
🤣 🤣 🤣

Hakuna kitu kigumu kama kutetea Dini kwenye mambo yanaitaji rational thinking.

Sasa kama Mungu hukumu yake anaangalia Mazingira ya ulipoishi na mtu anaweza kuhesabika mwema bila kujua Dini, why aliamua kuwaletea Dini wasiokuwa na Dini tena kwa njia ya upanga?
 
Hili swali hakuna mwanadam anaweza lijibu.... Sababu lipo nje ya vitabu (linamuhitaji Mwenyezi Mungu mwenyewe 🤔, maana yeye ndo alikuwepo zama zote na yeye ndiye kaumba viumbe wote........ Kila watu watahukumiwa kutokana na zama zao
Ndio sababu mitume hawakutumwa wote mara moja, walikuja kwa nyakati tofauti🤝🤝🤝

Huwezi tumia Taurat, injili wala Qur'an kulijibu hilo swali🚶🚶🚶

Ni sawa mtu akuulize hili swali.... "Hivi wewe kabla hujaletwa hapa dunian nafsi yako ilikuwa wapi???"
Na kwanini haikumbuki chochote kuhusu huko ilipokuwa, na kwanini haipaswi kukumbuka?Hayo ni maswali ambayo yanadhihirisha uwepo wa Mwenyezi Mungu.... Laiti kama kila kitu tungeweza kufanya na kukijibu wenyewe uwepo wa Mungu usingekuwa na maana!!!
Sababu tusingemtegemea kwa lolote
 
Ndio nijibiwe
 
Hili swali hakuna mwanadam anaweza lijibu.... Sababu lipo nje ya vitabu (linamuhitaji Mwenyezi Mungu mwenyewe , maana yeye ndo alikuwepo zama zote na yeye ndiye kaumba viumbe wote........ Kila watu watahukumiwa kutokana na zama zao
Ndio sababu mitume hawakutumwa wote mara moja, walikuja kwa nyakati tofauti

Huwezi tumia Taurat, injili wala Qur'an kulijibu hilo swali

Ni sawa mtu akuulize hili swali.... "Hivi wewe kabla hujaletwa hapa dunian nafsi yako ilikuwa wapi???"
Na kwanini haikumbuki chochote kuhusu huko ilipokuwa, na kwanini haipaswi kukumbuka?Hayo ni maswali ambayo yanadhihirisha uwepo wa Mwenyezi Mungu.... Laiti kama kila kitu tungeweza kufanya na kukijibu wenyewe uwepo wa Mungu usingekuwa na maana!!!
Sababu tusingemtegemea kwa lolote
Fact
 
Hili swali hakuna mwanadam anaweza lijibu.... Sababu lipo nje ya vitabu (linamuhitaji Mwenyezi Mungu mwenyewe 🤔, maana yeye ndo alikuwepo zama zote na yeye ndiye kaumba viumbe wote........ Kila watu watahukumiwa kutokana na zama zao
Ndio sababu mitume hawakutumwa wote mara moja, walikuja kwa nyakati tofauti🤝🤝🤝

Huwezi tumia Taurat, injili wala Qur'an kulijibu hilo swali🚶🚶🚶

Ni sawa mtu akuulize hili swali.... "Hivi wewe kabla hujaletwa hapa dunian nafsi yako ilikuwa wapi???"
Na kwanini haikumbuki chochote kuhusu huko ilipokuwa, na kwanini haipaswi kukumbuka?Hayo ni maswali ambayo yanadhihirisha uwepo wa Mwenyezi Mungu.... Laiti kama kila kitu tungeweza kufanya na kukijibu wenyewe uwepo wa Mungu usingekuwa na maana!!!
Sababu tusingemtegemea kwa lolote
Kwa maana hiyo unamaanisha haipaswi kumuhukumu mtu sababu haamini kama wewe unavyoamini sio mkuu?
 
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana

Lakini mimi nachotaka kujua ni kwamba Mababu zetu kabla ya kuja wa Waarabu walikuwa na imani zao na maisha yalienda, Mabilioni ya mababu zetu walishafariki kabla ya Mwarabu kuja kuwasilimisha waliokuwa hai kwa wakati huo na ndio nyie leo mnaitwa Waislam

Swali langu ni moja tu, Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kutoka saudi Arabia kwa sasa Wapo Motoni au Wapo peponi?

Na kama wapo Motoni kosa lao ni lipi?
Tatizo ni indocrination toka wakiwa watoto wanaaminishwa dini yao ndio sahihi na yenye haki na ukubwani wanaendeleza hiyo Imani

Ila uhalisia nadhani wote tunauona kuhusu hiyo haki na kweli ya uislamu
 
Back
Top Bottom