Recent content by makutu

  1. makutu

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Dickson Chilongani: Maaskofu wanaotoa matamko na kumuhukumu Rais, wajue nao watahukumiwa

    Mie ni muumini wa kanisa Anglican na leo nimeenda kanisani hayo alosema ni yake binafsi sio ya kanisa Anglican Tanzania
  2. makutu

    JamiiForums Tanzania James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na tukio la Lissu kupigwa risasi...

    Kwa hakili zako nawe wajiona umeandika la maana. Kwani police si walimchukua kwa maelezo ya awali baadae wakamruhusu wenyewe
  3. makutu

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nani asiye na usingizi ka mie
  4. makutu

    JamiiForums Tanzania Gharama ya studio ya kusafisha picha

    Mie ni mdau wa hii kazi. Ila sijajua ni studio ya aina gani uitakayo. 1. Kuna hizi machine za Epson Hit machine. Hizi zote ni za Kusafisa picha japo kwa size Tofauti na ubora tofauti pia 2. Kuna machine kubwa kutoka Kampuni tofauti japo mie Nitazungumzia...
  5. makutu

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Tai kwenye mzoga

    Duh unajua kuandika hadith
  6. makutu

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

    Hongera mtunzi
  7. makutu

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi azidi kuwa Maarufu. Kaja na App yake ya Simu.

    Ok asante mkuu
  8. makutu

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi azidi kuwa Maarufu. Kaja na App yake ya Simu.

    Inaitwaje hiyo app yake?
  9. makutu

    JamiiForums Tanzania Njia nyembamba (Simulizi mpya by SteveMollel)

    Hongera Stevemollel
  10. makutu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Nitakupata tu

    Ibraaaaaaaa hadi raha kukusoma mawazo yako Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
  11. makutu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Nitakupata tu

    Ibraaaaaaaa hadi raha kukusoma mawazo yako Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
  12. makutu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Nitakupata tu

    Ibra87 Kama namuona Mtobwa vile Sent from my G630-U10 using JamiiForums mobile app
  13. makutu

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel afikishwa Mahakamani kwa uhujumu uchumi

    Nakupongeza mtoa taarifa. Ila ungeelezea kiundani kidogo
  14. makutu

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Nitakupata tu

    Hongera Ibra87
Back
Top Bottom