ijumaa, jmosi na jpili. ila jpili siku hizi haweki sijajua sababu ingawa ratiba alipanga mwenyewe steveDuh mkuu nikumbushe rariba ilivyo maana kila baada ya lisaa nakagua
Naona mzee ndo leo alhamisi[emoji61] [emoji61] nasubiria mieeeSiku za kurushwa simulizi zitakuwa Alhamis na Jumamosi!
☆Steve
Mkuu habar,naomba nami unitag,asanteUsijali mwana kolomije.
☆Steve
Tupia nondo
Steve kwema?punga hata mkono tujue bacHaya njoeni wazee. Nimewatumia ya Ijumaa na Jumamosi.
☆Steve
Shusha vitu mkuuMpaka na PM jamani.
umekuja mbona hatukuoni mzeeMpaka na PM jamani.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wakuu, nimekujaa!