Recent content by Makungwe

  1. Makungwe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

    kwani dr slaa yuko wapi huoni kama angetuuza kwa bei chee
  2. Makungwe

    JamiiForums Tanzania BAWACHA yaandaa mafunzo ya Wajasiriamali kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chadema

    Kila kitu dar na sisi wa mikoani lini? Mtuangalie kwa jicho la huruma wake zetu na wenyewe wafaidike.
  3. Makungwe

    JamiiForums Tanzania PGO mwiba kwa maafisa wa Jeshi la Polisi, wanafanya kazi kwa taratibu zipi?

    Wakuu nini kirefu cha neno PGO??? kwa wanaofahamu mtuambie
  4. Makungwe

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa ushawishi kwa Wananchi, CHADEMA sasa wanaishitaki Serikali kwa Wazungu

    Nimezichoka hizi post
  5. Makungwe

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Ni mbunge
  6. Makungwe

    JamiiForums Tanzania Zitto na Nondo wanaenda speed sana kupush agenda za Kigoma

    Leka dutigite
  7. Makungwe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe awa mbogo, awashukia vikali wanaodai Makamu wa Rais, Dkt. Mpango ni Mrundi

    Kigoma mungu atupe nini jamani!! Toka uhuru kigoma tulikuwa hatujawahi kupata kiongozi wa ngazi za juu kama leo Dr philipo Mpango ni VP wenye kukelwa endeleeni kukelwa mpaka mpasuka.
  8. Makungwe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli amefariki dunia

    Kwa hiyo jamiforums imekuwa kama kijiwe kama facebook mods futa uzi huu haraka na kwann mmeuruhu kuwepo jukwaani ?
  9. Makungwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF mmewasikia Kanisa Katoliki?

    Mbona waumini wao hawavai?
  10. Makungwe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kwa ACT wazalendo namna ya kutuma majina ya wateule "wapendekezwa" kwa wakati bila mizengwe!

    Wambie hao ACT wapendekeze jina la mwenyekiti wa BAWACHA hujaguswa unaruka peke yako je ukiguswa? harafu unajikanya mwenyewe nenda ukalime masika hii utavuna usijifiche kwenye keybord.
  11. Makungwe

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Mungu ni mkuu na mwenye mamlaka kwa kila kiumbe alichokiumba na kwenye biblia tumeambiwa tuseme ukweli na ukweli utakuweka huru
  12. Makungwe

    JamiiForums Tanzania Kisichoeleweka kwa wadau kuhusu mbunge wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood

    Mpeni DEVOTA NIJNJA atawavusha Morogoro
  13. Makungwe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatujapokea ruzuku yoyote kutoka Serikalini

    Nyie CHADEMA Mwamkataa SHETAN NA MAMBO YAKE YOTE??
  14. Makungwe

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mbunge na Madiwani walioapa hawakutenda jinai, ila ni wakaidi

    Wamekaidi nini watu hawakulala kulinda kura mpaka kikaeleweka halafu waachie kiulaini rahisi rahisi tu haiwezekani.
Back
Top Bottom