Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,794
- 5,274
Toa ushahidi wewe.Ruzuku. Pokee wenyewe na ubishi muuweke nyie wenyewe
Toa ushahidi wewe.Ruzuku. Pokee wenyewe na ubishi muuweke nyie wenyewe
Basi mwambie msajili wa vyama vya siasa aseme hivyo.Acheni kuwadanganya wenzenu wasio na access na bank account zenu semeni tuu mtonyo umeingia.
Kumbe chama la misukule, nilijua chama cha binadam kumbe misukule nilijua na nyumbu 😂😂Yaani maccm yanaendesha nchi kama kikao cha wachawi.
Ni mauaji, uzushi, wizi, uongo na uzandiki.
CHADEMA HAITEGEMEI RUZUKU KUJIENDESHA TUPO MISUKULE KIBAO AMBAO HUTUAMBII CHOCHOTE KWA CHADEMA, NA TUPO TAYARI KUCHANGIA MPAKA SENTI YA MWISHO ILI SIKU MOJA HESHIMA IRUDI NCHI HII.
Mbowe alinunua chopper nasika, na zile walizokuw wakikatwa Wabunge wa CDM had 2020 sijui walisomewa mapato na matumiz hao nyumbu 🤔Sisi tunataka mapato na matumizi ya zile fedha mlizokuwa mnachangisha kipindi cha kampenii. Sawaaa??
Ruzuku. Pokee wenyewe na ubishi muuweke nyie wenyewe
Sisi tunataka mapato na matumizi ya zile fedha mlizokuwa mnachangisha kipindi cha kampenii. Sawaaa??
Wale wajinga (CCM inapendwa na watu wajinga - TWAWEZA) waliokuwa wamekazania hapa kuwa CHADEMA inapokea ruzuku kila mwezi walete ushahidi hapa. Au la wakae kimya ili ujinga, unafiki na uzushi wao udhihirike.
Sent using Jamii Forums mobile
Sisi tunataka mapato na matumizi ya zile fedha mlizokuwa mnachangisha kipindi cha kampenii. Sawaaa??
We mwenyew huna ushahid Kama hawapokei, mtapigwa danadana wee siku zinasonga, 😂😂 yanakuw na covd 19 ya kina halima wenu maisha yanasonga mbele😋Acheni propaganda za kipumbavu, mmeambiwa muweke ushahidi kuwa Chadema wanapokea ruzuku bado mnababaika!!
Ndiomaaana tunataka watuwekee mezani mapato na matumiziii. Wala wasitusahaulisheeMbowe alinunua chopper nasika, na zile walizokuw wakikatwa Wabunge wa CDM had 2020 sijui walisomewa mapato na matumiz hao nyumbu 🤔
Sisi tunakitaka chama chenu kituleteee mapato na matumizi ya sadaka zile kipindi cha kampeniiiUsikute kuna upigaji mtakatifu pale hazina kwa kutumia jina la Chadema. Nileteeeeeeni CAG Kichereeeeeeeeee
Haichekeshi.Chama cha Familia oyeeeeeeee
Chadema aka CCF
Mbn hiyo bwashee tushakula, chama la baba etu hakuna kuku wa kutohoji😂😂( king Mswati family)Ndiomaaana tunataka watuwekee mezani mapato na matumiziii. Wala wasitusahaulishee
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanajaribu kupiga yowe ili kutuma ujumbe kwa mamlaka kwamba jamaniee, tunakufa njaa huku.MATAGA yameumbuka!
We mwenyew huna ushahid Kama hawapokei, mtapigwa danadana wee siku zinasonga
Kakojoe ulaleNdiomaaana tunataka watuwekee mezani mapato na matumiziii. Wala wasitusahaulishee
Wewe ndiye ofisa ofisi ya msajili?Kwa Kiingreza, hii hali tungeita fairytale. Usicheze na hela bro. Kinachotokea hapa dhanĺĺa ya mtiririko kihasibu ( "accruals accounting"), hela zimetengwa lakini Msajili akagutuka mambo yasiwe kama ya huko nyuma hela zilikuwa kwenye account ya mtu mmoja.
Kumbe chama la misukule, nilijua chama cha binadam kumbe misukule nilijua na nyumbu
Mara nyingi huwa sijibu wapumbavu, lakini mwandiko wako unaonesha hauna mwanaume wa kulala nae leo.
Njoo PM tuelewane bei dada.